Historia ya Mzee Kipusa

Ndo useme sasa, what do you want..?
Nahitaji kufanya Kazi , nahitaji Mama anirudishe kazini. Nahitaji kuona Karama yangu , Kipaji na Kipawa .( Nilivyopewa na Mungu wangu ) .vikitumika katika kutoa mchango wa kulisukuma na kuliendeleza gurudumu la Taifa letu.

Kwani BADO naona sijafanya chochote katika Nchi yangu na katika Ardhi yangu.
 
Kwan ulifukuzwa kaz na utumishi?km ulifukuzwa kaz bila utumish unaweza kuomba tena ,ukaajiriwa upya
 
Hata kama unasema hauko kwenye system yao, kwa ushauri nasaha uliowapa sidhani kama wangekuacha kukutumia hasa baada ya kuwashauri juu ya mambo nyeti yaliyohusiana na usalama wa kiongozi wa nchi!!! Isingekuwa rahisi kukuacha barabarani mtu ambae ni msaada kwenye majukumu yao. Kama wamekuacha bila kukutumia tena basi kuna kasoro mahala unayotakiwa uirekebishe.
 
Hii bima uliipata kama nani na huwa inalipiwa na nani? serikali au?
 
Kwan ulifukuzwa kaz na utumishi?km ulifukuzwa kaz bila utumish unaweza kuomba tena ,ukaajiriwa upya
Nimefukuzwa Kazi na mwajiri wangu ( Mkurugenzi wa Halmashauri )

Na baadae nikakata rufaa ...tume ya Utumishi wa Umma...nikakata tena rufaa kwà Rais wa Tanzania....na matokeo yakawa yale yale.

Wanasheria wanasema...nimefukuzwa technically ( kutojibu barua ndani ya siku 45 ) ...
 
Mimi nafikiri labda nimesahaulika tu. Siwezi kusema zaidi ya haya.
 
Kiukweli, ninayo ya kuandika hapa lakinj ni forbidden siwezi kuyasema cause Naweza kuonekana kama mwendawazimu, kichaa, chizi au mwehu.
Wakati unagundua mipango ya kumuondoa Jpm Kule Bungeni na ukafanikiwa kuizuia ulikuwa unawafahamu waliokuwa wamepanga hiyo mipango? Hudhani kaka wao ndio wameshika mpini sasa hivi na kukubania kisawa sawa usitoboe ? ref kesi yako ilivyotupwa hapo mwishoni. Na huoni kama kuandika humu hii kitu ndio utakuwa mwisho wako kwasababu ya kuku silence Mazima ili usiendelee kutoboa?

Mwisho kabisa. Unaonekana una kitu na kinaweza kukuleftisha. RIP MZEE KIPUSA
 
Hii bima uliipata kama nani na huwa inalipiwa na nani? serikali au?
Hii bima ni ya NHIF...wakati nikiwa mtumishi...nilikua na bima pia...lakini yangu haikuendelea kufanya Kazi.

Hii nilikatiwa na mtu wa karibu.

Lakini Huwa situmii mara kwà mara , maana Mimi ni tajiri wa Afya...I mean...ninaweza kukaa hata miaka 4 bila kupata malaria.

Nilikua naitumia wakati nipo homeless.

Mara ya mwisho niliitumia mwezi uliopita ( kwasababu nilikua homeless for 14 days....nikawa dhaifu sana ...nikaenda hospital kwà lengo la kulazwa....wakaniambia siumwi chochote...wakanipa painkillers tu .

Hapo nilikua nina muda wa miaka mitatu sijaitumia. Na nilienda kutest kama BADO inatumika.
 
Amina.

Note: Yeyote ambae alikua akifika pale kijijini ilikua lazima achanjwe chale na yule Babu.

Huyu chifu alizikwa huku amekaa! Alikua ni Kiongozi mwenye HEKIMA na Busara sana....
Kwamba issue ya kibiti ilimalizwa na police bila wazee kuingia front!!
 
Hii siwezi kuisema...lakini jamaa walitumia television mojawapo pendwa enzi hizo ...waliitumia kama cctv camera....

Nafikiri waliwakodi mwandishi na kamera man kuonyesha KILA angle ..Ili kumnasa JPM. Zile picha ethically hazikufuata taratibu wa habari official.

Huwezi kumuonyesha Rais kwenye tv kwà mtindo ule...

Na ndio maana , mitambo yote ilizimwa siku ile kwà dakika Moja ...na ikarejeshwa TBC PEKE yake.

Baadae Hayati Magufuli alizomewa bungeni siku hiyo ....
 
Km unajua hesabu,mbona walimu wa hesabu wana soko sana,hata km hujasomea ualimu,tafuta private schools omba interview ,kaz utapata nenda pale st peter claver iko ihumwa dom utapata.pia ukipata naul ,nenda kwa mwamposa upate mafuta na maji,pia nenda psssf ukajaze form za kudai pension yako ya kufukuzwa kaz,utapewa form upeleke kwa hr wako asign then go on upate hata pesa ya mtaj au naul uende zako majuu,bongo haikutaki
 
Kwa umri na experience yake kazi iliyobaki na inayomfaa ni kuendelea kuwa kachero kama watamkubali!
Nitafurahi sana. Nitagalagala na kulia kwà uchungu mkubwa sana. Mungu akiruhusu nipate kibali hiki.
 
Kwamba issue ya kibiti ilimalizwa na police bila wazee kuingia front!!
Kama waliingia , BASI waliingia kwà vazi la Polisi...but nakumbuka...jeshi la Wananchi lilitaka liende huko...but baadae issue ikahairishwa baada ya jeshi la Polisi kufanya Kazi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…