Historia ya Mzee Kipusa

Kuna kifungo lazima ufunguliwe. Nenda kawe (Mwamposa), utamshukuru Mungu kwa kuwa hujachelewa.
 
Kuna kifungo lazima ufunguliwe. Nenda kawe (Mwamposa), utamshukuru Mungu kwa kuwa hujachelewa.
Huyu jamaa niliwahi kwenda kwake mara nyingi sana sana. TENA nilikua nawahi nafasi za mbele kabisa....au saa nyingine katikati.

Tangu akiwa Mwenge pale....
Kawe nimeenda sana...Nimetumia mafuta na Maji mengi sana sana.

Kanishika mkono mara nyingi sana sana.....nimekanyaga mafuta ya upako mara nyingi sana...nimekula keki ya upako mara nyingi sana...mpaka nikaanza kutumia trick ya kumsemesha akiwa anapita kuwekea watu mikono....lakini wapi...issue ziko vile vile
 
Hiyo dua ya kwanza kweli ulichemka mwenyewe. Ulitakiwa upokee huo mkoba mweusi kwa maana uipokee jadi yako.
Sema nini jifunze ishu za color physiotherapy ndio utajua kila rangi inawakilisha nini.
 
Hebu tukumbushe tena hiyo tiba ya chumvi mkuu?!

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dua ya kwanza kweli ulichemka mwenyewe. Ulitakiwa upokee huo mkoba mweusi kwa maana uipokee jadi yako.
Sema nini jifunze ishu za color physiotherapy ndio utajua kila rangi inawakilisha nini.
Green inawakilisha nini Ndugu?
 
Kiukweli, ninayo ya kuandika hapa lakinj ni forbidden siwezi kuyasema cause Naweza kuonekana kama mwendawazimu, kichaa, chizi au mwehu.
Ndio maana wengine tunadhani were alikuwa mtu wa KITENGO na ndio maana ulipata hata fursa ya kushauri kamati za ulinzi na usalama hapo Dodoma enzi za Magufuli!!! Uliwashauri na wakakusikiliza ; bila kuwa mtu wao usingepata nafasi hiyo!!
Umefika hadi Zanzibar kutoa ushauri na ukasikilizwa na watawala wa huko na mambo yakaisha ; huo ni ushahidi tosha kuwa ulikuwa kwenye system yao lakini baadae uliharibu mahala na ndio maana wakakutema na sasa unateseka!!
Ningekushauri ukumbuke mambo mabaya uliyofanya ukiwa kwenye kitengo halafu utubu kwa Wote wale uliowakosea ama sivyo hii laana itakutafuna mpaka siku ya mwisho ya uhai wako!!
 
Sina tatizo na imani yako juu ya hao jamaa na kama umenisoma hakuna nilipokishauri uende huko
La muhimu ni kwamba hata huko hospital kwenye kila aina ya utaalam na vifaa vyenye ubora wote sio wote wanapona wanakufa wengi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Green inawakilisha nini Ndugu?
Nenda kasome mkuu. Utajifunza mengi maana wewe unapenda kusoma. Hapo ndio utajua kwanini hata logo za makampuni zinatumia rangi flani.
Mfano umeshawahi jiuliza kwanini madish ya azam na dstv hapo kabla yalitumia rangi moja nyeupe ila sasa dstv anatumia blue na azam ni nyekundu.
 
Hapana Ndugu yangu....Mimi sipo kwenye KITENGO.

Ni jukumu letu sote kuhakikisha Taifa letu linakua salama wakati wote.

Hizo ofisi sio za kuogopa....ni za kawaida sana kama ukiwa na kitu chenye mantiki.

Mimi nikiwa na jambo...nikakueleza...lazima utanisikiliza tu....kwasababu huwa nakua na details za kutosha.

Na nikiwa na jambo , huwa sio muoga wa kuingia ofisi yoyote.

Kwahiyo, sijawahi kuwakosea hao jamaa kwà namna yeyote ile. Na sipo kabisa kwenye system yao.
 
Ok
 
My friend , you can say it all...but adui anajua na Huwa anashangaa sana nikivuka mitego yake...Mimi ningekua nimeishakufa kitambo sana Ndugu.

Nimenusurika kufa mara nyingi sana...ni Mungu tu. Na sijui ana maana gani kunipitisha njia hii.
Huwezi kufa kama wewe ni chagua la Mungu ila ujiandae kupigana vita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…