Historia ya Majini

Majini yalisilimishwa na Mtume Moahmed.
Majinn ni maislam.
Yes Mtume Muhammad (s.a.w) alitumwa na Mungu kwa ajili ya walimwengu wote kwa maana ya Binaadamu na Majini!

( Q 7:158) [Say, O Muhammad]: 'O mankind ! I am Allah's Messenger to you all - of Him to Whom belongs the dominion of the heavens and the earth. There is no god but He. He grants life and deals death. Have faith then, in Allah and in His Messenger, the Gentile ( non Jew) Prophet who believes in Allah and His words; and follow him so that you may be guided right.'
Quran 21:107

"Nasi hatukukutuma (ewe Muhammad) ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote."
 
Wao wanakula vitu gani..vip nikiitaji mrembo wa kijini nampataje.
It was reported that bones are food for the jinn. Among the Ahaadeeth that are reported in this regard is the Hadeeth reported by Muslim that the jinn asked the Prophet for food and the Prophet replied:

You will have every bone on which the name of Allaah has been mentioned; when it falls into your hands, it will be covered with flesh. And the dung (of the camels) is fodder for your animals.” Then the Prophet said (to his Companions): “Do not use them (bones and dung) to clean yourselves after relieving yourselves, for they are the food of your brothers (jinn).” [Muslim]


Majini hula Mifupa na vinyesi vya wanyama vyetu ni vyakula vya wanyama wao. Ulimwengu wao ni tofauti na ulimwengu wetu...Unapokula nyama na kisha kubakisha mifupa na kuitupa ile mifupa Mungu huivika tena nyama na kuwa chakula cha majini.

Hivyo haifai kujisafisha kwa kutumia mifupa baada ya kutoka haja maana unakinajisi chakula cha majini.

Pia mashetani (majini waovu) hula chakula ambacho mtu hajatamka jina la Mungu kabla ya kuanza kula.
 
Na majini wakaamua makazi yao rasmi yawe kwa Islamic 😎
Yule alomwambia Yesu ajitupe mnarani alikuwa kuku?. Wale walotolewa na kuwaingia nguruwe walikuwa kenge?.

King Suleiman alikuwa anawamiliki na kumjengea kasri wale walikuwa sisimizi?.

Adam alikataliwa kushjudiwa na Kunguru?.
Hawa alishawishiwa na msukule?.
 
HATA SIKU MOJA SIKUBALIANI NA ALAH.ALAH NI SHETANI NA MALAIKA ZAKE NI MAJINI.WAFUASI WAKE NI MAGAIDI NA SAHV KUNDI LINGNE LA MAGAID LIMEONGEZEKA TZ NA UGANDA
﴿۞ قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ
[ الزمر: 53]

Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.​

 
maandamano
Umesema majin yako mabaya na mazuri.
Je haya mazuri ndio hawa yalioslim na kuwa waislam?.

Maana naona Watu wote wanaopandisha majini.
yale yanaowasumbua kwa maradh nk. Yote huwa yakitolewa yanasema majina ya Kiislam.
Kwahiyo Hata majini mabaya ni ya kiislam?.

Maana kama ya kiislam ni mazuri. Kwanini huvagaa watu na kuwatesa?.

Au majini yote ni ya kiislam?.

Hebu niwekee sawa hapo.
 
Majini ya kiislam yanafanya yote ambayo waislam wanafanya?.

Mfano kufunga ramadhan.
Kuswali swala tano. Kutoa zaka. Kuoa majini wenzake wanne?.
 
Majini yamekuwa waislam kwasababu ya mtume.

Mtume anawaamini mitume iliyopita kwa hoja ya tawhidi.

Je . Huko nyuma majini nao walikuwa wana waamini ile mitume mingne kwa sababu ya tawhidi?.

Kila binadamu amezaliwa muislam. Na je majini nao kila jini akizaliwa ni Muislam?.
 
Umesema Majini waliumbwa kabla ya binadamu.

Quran inasema aliumbwa kwanza Adam na baadae Hawa.

Je allah aliumba jini wa kiume na kike kwanza ndio wakazaliana wakaijaza Dunia?.

Kwasababu its doesnt make sense uumbe majini weng alaf uumbe binadamu wawili.
 
Nitumie jini moja kama unalo wewe mwenye akili.

Think out of the box.

Story za majini asili yake ni middle east. Sehemu nyingine za dunia hawakuwa na uzushi huo.

Watu wanaofikiriwa kuwa na majini huwa ni wagonjwa wa afya ya akili wakiwemo wenye Dissociative identity disorder (jaribu kusoma kuhusu hii) na hata wenye dissociative fugue. Matibabu yake yanaweza kufanyika kwa kuhusisha hypnosis na exorcism
 
Jini mzuri anafanya kama wanavyofanya wale Wisilamu wa Swala tano,yaani Anaswali,hanywi pombe wala hamuingii mtu na kumtesa na mambo mengi na majini yapo ya aina nyingi kutoka na sehemu husika hubadilika kutokana na majina wengine huita kinyamkela au hujawahi kuona Mmasai kapandisha mori?
 

Nishawah.

Ila wote wanaopandisha majini hutaja majina ya Kiislam.

Au ni majina tu ila sio Waislam?.
Au ni majini waislam ila wamekengeuka?.
 

Je kuna mapepo?.
 
maandamano
Kuna majini ya kiafrika. Ya kizungu na ya kijapan?.

Maana kama binadam kuna weusi , weupe nk..wao wakoje?.

Wana makabila,
Je kuna majini yana amini dini nyingne ukiacha Uislam?.

Maana yana free will.
Je kuna majini hayaamini kama kuna allah (Atheist) kama Kiranga .

Usichoke maswal..tupe ilmu dyunia ya hawa viumbe vya mnyenz Mungu subihala wa taala.
 
HATA SIKU MOJA SIKUBALIANI NA ALAH.ALAH NI SHETANI NA MALAIKA ZAKE NI MAJINI.WAFUASI WAKE NI MAGAIDI NA SAHV KUNDI LINGNE LA MAGAID LIMEONGEZEKA TZ NA UGANDA
Labda nikusaidi maana najua unachofikilia,kwa kufupisha nataeleza kwa ufupi,Kaumu ya Musa aliwaongoza Waisraeli dhidi ya farao aliyekuwa anajiita Mungu,huku Musa akimuhubiria Mungu mmoja ambaye hana mtoto hana mke wala hazai wala hafi hapo hakuna aliyekuwa anamjua Yesu,kumbuka kabla ya Musa alikuwepo Ibrahimu ambaye naye anahubiri Mungu mmoja akipingana na ibada ya masanamu,

Anakuja Yesu naye a ahubiria Mungu mmoja mpaka anaondoka,Uisilam nao kupitia Mtume Muhammad (S.A.W)naye anahubiri Mungu mmoja
Swali linakuja kwako wewe unatambua Miungu wangapi ili tujue uko pamoja na mitume au uko pamoja na waliopingana na mitume?
 
Ndiyo,sema yanabadilika tu majina kama kinyamkela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…