Historia ya kweli ya Tanzania

Historia ya kweli ya Tanzania

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
110
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
 
Mkuu ninakutakia mafanikio katika kukitafuta.Ukikipata tujulishane.
Nitapenda pia kusoma historia ya Tanzania isiyo ya uongo na kinafiki.Hata hivyo, sina hakika kama kipo kitabu cha aina hiyo.
 
Mkuu ninakutakia mafanikio katika kukitafuta.Ukikipata tujulishane.
Nitapenda pia kusoma historia ya Tanzania isiyo ya uongo na kinafiki.Hata hivyo, sina hakika kama kipo kitabu cha aina hiyo.

Kuna watu kama akina Mwanakijiji na wengineo wahumu JF katika madazao wanazozianzisha nawaona wanauelewa mkubwa sana wa haya mambo sijui kawa wanaweza kutusaidia kwa hilo.Nasikia wapo watu wengi sana waliomsaidia Mwalimu kupata uhuru ila ukiniambia niwataje sijui hata kama nitafikisha watano.Sana nitaishia kwa Bibi Titi tuu
 
Kila la kheri. Ukikipata tutaarifiane
 
Tanzania haijawahi kupata uhuru,au umekusudia tanganyika?
 
Tanzania haijawahi kupata uhuru,au umekusudia tanganyika?

Kwani Tanzania ni nchi gani hiyo? Dau! Waandishi wengine bana? Au anazungumzia jamhuri ya muungano Tanzania(JMT) ambayo ina kesi mahakamani. Nchi hii haiishi vichekesho. I wish I could see the book.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huyu anaelezea historia ya ''uislam na Tanzania''

hiyo nayo ni sehemu ya historia ya nchi kwa sababu Waislamu ni sehemu ya jamii. hali kadhalika, historia haipatikani ktk kitabu kimoja. lazima uwe mjumuiko wa vitabu kadhaa
 
Tanzania is flying for sure, even our enemy can testify.
Kinachotakiwa kufanyika ni kuwahakikishia majirani zetu kuendelea kuwapa huduma nzuri na baadae misaada. Ni vizuri tukumbuke kuwa ukiishi jirani na watu wenye njaa mwisho wa siku wataiba au watakudhulu ili nao wapate. Tuwe makini na hili
Anjo
 
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.

Hii kauli yake mwenyewe tayari ameshaitowa kiuongo, halafu anategema kupata kitabu chenye historia ya ukweli jamani ?Muangalie hapo alipoeleza Historia ya ukweli ya Tanzania kabla na baada ya Uhuru Hivi Tanzania iliwahi kutawaliwa na kupewa uhuru?au alikuwa na maana ya Tanganyika kabla ya Uhuru na baada ya kujibatiza kuwa kujita Tanzania?
 
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
Kama umeweza kutofautisha ni historia ipi ya kinafiki na ipi ni ya uongo inamaanisha historia ya kweli unayo mkono wa pili.
 
Tanzania haijawahi kupata uhuru,au umekusudia tanganyika?

Ni kweli Uhuru haupo Nchi inategemea misaada toka Nje lugha ya kufundishia bado ni Lugha ya kikoloni hata Barua ya Maombi ya kazi bado inatumika Lugha ya kikoloni hata Viongozi huona ni Ufahari kuzungumza Lugha ya Kikoloni pasipo kigugumizi Uhuru bado japo walisema Uhuru ulikuwepo 1961 lakini ulikuwa Uhuru wa Baadhi tu ya mambo lakini Ukoloni mambo Leo umetawala Afrika
 
Kwenye katiba kuna kipengere kinaruhusu kutaka kuijua Tanzania ?
 
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.

Mkuu Naona hapa kuna kazi. Historia ya ukweli! Sidhani Kama utaipata, labda utapata matukio lakini story , zilikwishachakachuliwa. Labda nakushauri utafute historia kwa wazee utapata ukweli
 
mkuu naona hapa kuna kazi. Historia ya ukweli! Sidhani kama utaipata, labda utapata matukio lakini story , zilikwishachakachuliwa. Labda nakushauri utafute historia kwa wazee utapata ukweli
ngoja tujaribu kuifuatilia mkuu..maana historia yetu inafichwa kuliko mizigo ya akina masogange
 
Back
Top Bottom