Historia ya Kujichukulia Sheria Mkononi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya Kujichukulia Sheria Mkononi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Feb 27, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Watu wa nchi mbali mbali ambazo hazi fuati sheria au Jeshi la Polisi na Mahakama zikiwa lege lege zilisababisha watu kujichukulia sheria mkononi ambapo vibaka/wezi/majambazi wamekuwa waki uliwa pindi wanapokamatwa na wananchi.
  Na kuna baadhi ya nchi wameenda mbele zaidi kwa kuondo viongozi wao kama Tunisia, Iran wakati wa Shah Mohamed Pervi? ndipo akaingia Ayatollah Khomeni, na juhudi hizo zimerejea tena au vitendo hivyo vimeongezeka kwenye nchi ya Oman, Baharain, Nk nk.
  Sasa hili linatakiwa iwe ni wake up call kwa CCm/Serikali yake kwamba ikiendeleza ugoi goi huu , hili jambo la kujichukulia sheria mkononi linaweza kwenda hatu mbili tatu mbele kwa Mawaziri Fisadi kusulubiwa na wananchi, maana serikali na chama tawala kimeshindwa kuchukua hatua hizo. Ni vizuri sisi tukiwa watanzania wenye mapendo mema na binadamu wote na nchi yetu , kuhihimiza serikali kuchukua hatua madhubuti kabla ya ufaa kusababisha ukuta kuanguka. itakuwa gharama zaidi kuujenga huo ukuta kuliko kuziba hiyo/hiza nyufa
   
Loading...