HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
ulitaka ikusisimue ni demu huyoInasisimua
ulitaka ikusisimue ni demu huyoInasisimua
Hizo zinakuwaga ni hekaya za Abunuwasi tu.Na uvumi uliopo kwa sasa eti jamaa wote walioshiriki kuhamisha kaburi na mifupa ya huyo marehemu, na ambao kimsingi walitokea kijiji cha jirani na lilipo hilo kaburi, ili kupisha upanuzi wa hiyo barabara kuu ya Tanzam, walikufa wote! huku vifo vyao vikiwa ni vya kutatanisha. Tamaa ya fedha za serikali iliwaponza.