Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,007
Wew hujui chochote lofa Sasa Marekani ya nini?Africa tumekiwa bara la giza kwa sababu ya ujinga mwingi na uongozi mbovu sio kwa sababu USA na Ulaya ni superpower wanaoongoza dunia.
Hata Russia au China wakiwa superpower namba moja na namba mbili na USA ikaanguka kabisa Africa itakuwa kama ilivyo sasa tu, hakuna chochote kitakachobadilika kwa mabadiliko hayo, zaidi misaada na mikopo kutoka USA, Ulaya na World Bank itapungua.
Sasa China au Russia ya nini?Wew hujui chochote lofa Sasa Marekani ya nini?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ujinga na ubinafsi wetu ndio unatoa nafasi hiyo,mbona mabara mengine wao sio waathirikaBado nina machungu ya Waafrika wenzangu waliouawa kwa namna moja ama nyingine Iwe Maradhi,Silaha au chochote ambacho mzungu amekitumia Kumuangamiza Mwafrika...Narudia Tena na Tena Walipuane tu wapungue kama wanavyotupunguza sisi huku Bila Sababu Huenda Hii ni Adhabu ya Mungu Kwao Ikiwezekana wafe wote Tubaki Afrika Pekee yetu!!
U J I N G A
M A R A D H I
U M A S I K I N I
Lakini mali iliyoibiwa ni kijiko tu kwenye bahari still mali bado ni nyingi Sana afrika.Baada ya ukoloni wazungu pekee hawaibi rasilimali zetu, Waafrika wenzetu ndio wanaiba rasilimali zetu kwa kushirikiana na Wachina, Waarabu, Wahindi, Wazungu na yeyote ambaye anaweza kufanikisha hilo.
Nakuhakikishia hii Vita Itaisha kimyakimya Na madhara unayoyasikia ya Hii vita sivyo kama Unavyosikia,Hakuna Mzungu wa Kuu Mzungu Mwenzake.Ujinga na ubinafsi wetu ndio unatoa nafasi hiyo,mbona mabara mengine wao sio waathirika
Hujui ni jinsi gani west walitumia vibaraka wao ambao ni viongozi wajinga kuleta ufisadi na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, hawa walikuwa ni wajinga lakini walituzwa na hao west ili wawafanyie matakwa yao.Africa tumekiwa bara la giza kwa sababu ya ujinga mwingi na uongozi mbovu sio kwa sababu USA na Ulaya ni superpower wanaoongoza dunia.
Hata Russia au China wakiwa superpower namba moja na namba mbili na USA ikaanguka kabisa Africa itakuwa kama ilivyo sasa tu, hakuna chochote kitakachobadilika kwa mabadiliko hayo, zaidi misaada na mikopo kutoka USA, Ulaya na World Bank itapungua.
Usiongee kama umekatika kichwa mkuu, angalia maendeleo yalikuwa wapi zaidi kwa muda mrefu halafu ndio utuambie nani alihitaji atuibie zaidi malighafi zetu, mchina kakua kwa kasi kiviwanda baada ya kusomesha watu wake kwa hao west na kuwaruhusu west kuwekeza China kufuatia cheap labor iliyokuwepo huko , na usitudanganye wakati tunajua anaeshikilia soko la dunia ndio mwizi mkubwa kwa miaka mingi.Baada ya ukoloni wazungu pekee hawaibi rasilimali zetu, Waafrika wenzetu ndio wanaiba rasilimali zetu kwa kushirikiana na Wachina, Waarabu, Wahindi, Wazungu na yeyote ambaye anaweza kufanikisha hilo.
Hiyo ndio akili timamu mkuu, lakini ukiona jitu linatetea maharamia ujue hilo linajiandaa kufunga ndoa ya jinsia moja tu.Bado nina machungu ya Waafrika wenzangu waliouawa kwa namna moja ama nyingine Iwe Maradhi,Silaha au chochote ambacho mzungu amekitumia Kumuangamiza Mwafrika...Narudia Tena na Tena Walipuane tu wapungue kama wanavyotupunguza sisi huku Bila Sababu Huenda Hii ni Adhabu ya Mungu Kwao Ikiwezekana wafe wote Tubaki Afrika Pekee yetu!!
Africa tumekiwa bara la giza kwa sababu ya ujinga mwingi na uongozi mbovu sio kwa sababu USA na Ulaya ni superpower wanaoongoza dunia.
Hata Russia au China wakiwa superpower namba moja na namba mbili na USA ikaanguka kabisa Africa itakuwa kama ilivyo sasa tu, hakuna chochote kitakachobadilika kwa mabadiliko hayo, zaidi misaada na mikopo kutoka USA, Ulaya na World Bank itapungua.
U J I N G ALakini mali iliyoibiwa ni kijiko tu kwenye bahari still mali bado ni nyingi Sana afrika.
Mfano hapa tza raslimali zilizopo kwenye wilaya moja tu nchini zinafuta deni la taifa,shida hatujawekeza kwenye fikra zaidi.