Corruption initafuna nchi na kama kawaida wanapotakiwa kuelezea sababu ya uchumi mbaya na maendeleo finyu husingizia ukoloni mambo leo na baada ya miaka 55 ya Uhuru bado wanasema Tanzania nchi Changa hali ina utajiri wa mali asiki kupitiliza Saudi Arabia.Hizo ni Propaganda zao.
Sawa sawa na sababu Nyerere Apologists wanazotoa kuhusu uchumi mbovu chini yake (vita vya Kagera). Bahati nzuri wikileaks wameonyesha anaomba msaada tangu 1974, kabla ya vita.
Biashara kubwa haziji mpaka hali ya siasa itulie na kura za wananchi wa Zanzibar ziheshimike.
Siyo kila mfanyabiashara ana uwezo wa kwenda London na Geneve kutafuta Arbitrator akidhulumiwa.
Sifahamu kama kuna ukweli kuhusu Kigoma.
Mke mmoja. Divorced.
No kids. 1 million dollar question .
1. Infertile
2. Homosexual
3. All of the above
FreedomOman ni tajiri wa mafuta.
Uongozi wao wameutumia utajiri huu vizuri. Kila raia anapata elimu bora na nyumba za bei nafuu. Watoto wanasomeshwa duniani kote bure, kama wamehitimu vizuri.
Nchi safi na ina amani.
What more can you ask?
Corruption initafuna nchi na kama kawaida wanapotakiwa kuelezea sababu ya uchumi mbaya na maendeleo finyu husingizia ukoloni mambo leo na baada ya miaka 55 ya Uhuru bado wanasema Tanzania nchi Changa hali ina utajiri wa mali asiki kupitiliza Saudi Arabia.
Oman baada ya 1970 katika kipindi cha miaka 25 ilishapiga hatua katika maendeleo na hali utajiri wake mdogo sana wa mafuta na gesi.
Kwa mfano baada ya miaka 16 ya utawala mpya 1986 ilipata Chuo Kikuu chake cha kwanza SQU na hata hivyo leo Oman inaisaidia Znz katika Scholarships za vyuo vikubwa maarufu ulimwenguni na bado Wahafidhina wanadiriki kupanda majukwani kutukana Waarabu wa Oman na siasa za chuki zinaendelea.
What is their economic ranking in the world!!!It's a hard pick for Oman.
1. Freedom and political unrest.
2. Stability and jobs for all.
#2 naisikia sana Oman.
Lakini wapenzi wake wanasema kamficha Mtoto wake, asiuliwe , as a cover up for it. Most Wapemba I met, buy it.
Hata hivyo kwa Oman ni bora isiwepo hiyo what us called 'kura' ingawa ipo siku hizi wanapiga kura kuchagua member wa "Majlis Shura" na kampeni zinafanywa. Majlis Dawlah anawateuwa yeye mwenyewe na most of them are technocrats. Yes wananchi wa oman 2.5mil ni kidogo naningawa corruption ipo lakini haki inapatikana anagalia hapa kuna sakata la rushwa mahakama kuu[emoji116]Corruption kila nchi ipo.
Marekani wanaita "lobbying".
Hata Oman, ukikaa kidogo, utasikia, biashara kubwa zimeshikwa na mkubwa Fulani. Kupewa kazi nzuri lazima uwe na connection.
Wamejiendeleza kwa kuwa viongozi ni wazuri na wanawajali raia wao hata wakiiba pembeni. Pia , ni rahisi kusomesha watu kidogo, 2.5 million in Oman.
Lakini tukirudi nyuma, tukumbuke pia, hamna kupiga kura kuchagua kiongozi.
Tanzania, kuendelea ni shida. Tunahitaji viongozi nje ya "CCM school of thought".
Socialism and dictatorship is alive and kicking.
Mapepari ni adui wa taifa na Rais anajua kila kitu na hakosolewi.
Hata hivyo kwa Oman ni bora isiwepo hiyo what us called 'kura' ingawa ipo siku hizi wanapiga kura kuchagua member wa "Majlis Shura" na kampeni zinafanywa. Majlis Dawlah anawateuwa yeye mwenyewe na most of them are technocrats. Yes wananchi wa oman 2.5mil ni kidogo naningawa corruption ipo lakini haki inapatikana anagalia hapa kuna sakata la rushwa mahakama kuu[emoji116] View attachment 378401View attachment 378402
Hilo gazeti waandishi wake wawili wanashikiliwa na polisi kwa kufichua maovu ya mahakama kuu akiwemo CJ na naibu wake sasa mkuregenzi Mratibu wa Mahakama anatishia kufungua kesi ya rushwa dhidi ya CJ na Naibu wake.
Kila nchi ina mambo yake, Oman rushwa husalimiki ingawa yako matukio hayana tofauti na TZ kama ya wale wadau wa adhabu ya kudadadeki hospitali ya Sinza.[emoji23] [emoji23]
Lakini Masheikh wengine, bila ya wake wanne, hawana raha.
Shida ya wake wengi wanaleta watoto wengi
na watoto wanakuja kugombania kurithi
nafikiri unaijua historia ya Saudia na Sudairi seven.....
Tupe kidogo hio ya Saudia mkuu ....!!Shida ya wake wengi wanaleta watoto wengi
na watoto wanakuja kugombania kurithi
nafikiri unaijua historia ya Saudia na Sudairi seven.....