Hisia

Nyamtanga

New Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Hey wapendwa.. Hivi ile hali ya watu kuwa critical kwa aina flani ya wapenzi ni sawa au ni uathirikaji wa kisaikolojia? Maana utakuta mtu kuachana na dokta basi haitaji mwingine zaidi ya dokta tu akitongozwa mayb na teacher au askar hakubali..
 
Ni kutafuta mbadala unaofanania.. Ni jambo la kiasili mno
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…