mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Wewe siyo tatizo ila tatizo itakuwa mazoea ya kuiona mbunye kila wakati mkuu mwanzo ilikuwa mnaibia mkikutana siku unakuwa na genye kweli ila sasa hivi unakula ata bila genye hivyo viwili vinatosha tu kama mwenzio pia analizika hizo nguvu za mbili nyingine amka Asubuhi ukatafutie chapaa mkuuHabari za asubuhi ndugu zangu
Mimi Ni kijana wa kiume. mwenye umri wa miaka 29. Nilikua na mahusiano na msichana flani kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja. Na hatimae nikaamua kufunga naye ndoa.
Lakini kitu Cha kushangaza , tangu nimefunga ndoa nimekua dhaifu katika suala la sex (viwili tu chali) wakati hapo kwenye mahusiano siku za nyuma nilikuwa naenda mpaka 4 au 5.
Ni Nini tatizo hapa ??
Nasubiri majibu/mapovu nk.
ID yako ya zamani ni ipi?, kwanini hujaitumia hiyo we mzee wa kasumba
Naona tatizo hapo ni mshaanza kuzoeana sanaa,kiasi hakuna ubunifu tena kunako majambozi,badilikeni
YesWw ni mbunifu sn?
ndyo, mimi ni mbunifu 😀Ww ni mbunifu sn?
ndyo, mimi ni mbunifu 😀
Ngoja nijaribu.... Ha ha haSafir kama mwezi 1 alaf urud, hakika utampiga ata 10
Sisi wa mikoani si unajua Kuna muda hatuna kazi, kazi Ni kutafakari k tuuuuuu..... #tanga 1Hongera sana mkuu, huku bongo hata kimoja tu kinatushinda mpaka tutumie vumbi la Congo.
Wadadavulie wakueleweID yako ya zamani ni ipi?, kwanini hujaitumia hiyo we mzee wa kasumba
Naona tatizo hapo ni mshaanza kuzoeana sanaa,kiasi hakuna ubunifu tena kunako majambozi,badilikeni
washaelewa mkuu, subiri wataleta mrejesho😀Wadadavulie wakuelewe
Haujambo lakini bibie....washaelewa mkuu, subiri wataleta mrejesho😀
niko poa kabisa mkuu, habari ya huko ulipo?Haujambo lakini bibie....