Hisia zangu kwa "lulu"

Hisia zangu kwa "lulu"

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
wanaJF hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU"
My lv iz brilliant, my lv iz Pure!!
Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko mkubwa sana wa kimahaba!
Lulu sio sir Ure so beatiful, I like da way ure, nataman hata siku moja tukutane face to face nikuelezee hisia zangu.
Ure beautiful, ure beautiful! I don t knw wot to do and I will nevre be with you
Nakupenda sana Lulu,

Dedication song, YOU'RE BEAUTIFUL by JAMES BLUNT
 
Yaani wee Lulu unamdanganya nani kujipigia promo we mwenyewe?
Una act sio?
Hii Id yako ya akiba au?
 
Note : Mtoamada Thrade hii ime appear mara mbili! Beater you delete one, out of !
 
Mjomba endelea kumpigia puchu mtoto wa watu. Kie kie kie kie
 
wanaJF hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU"
My lv iz brilliant, my lv iz Pure!!
Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko mkubwa sana wa kimahaba!
Lulu sio sir Ure so beatiful, I like da way ure, nataman hata siku moja tukutane face to face nikuelezee hisia zangu.
Ure beautiful, ure beautiful! I don t knw wot to do and I will nevre be with you
Nakupenda sana Lulu,

Dedication song, YOU'RE BEAUTIFUL by JAMES BLUNT

Lakini hapa ni chit chat sio kwa kina Lulu Tabata, pia jiangalie Iyena Iyena atakuroga amewekeza pale..
 
Kipendacho roho ula nyama mbich,vumilia 2 lulu utampata kama unampend kwa dhat wala sio kushow off,cha muhimu tafuta contact naye umchane ukweli wa moyo wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom