Hisia za mwanamke ni za kuboost

Hilo halina ubishi na halipingiki bila kumuandaa mwenzi wako hata tendo halinogi mkuu uko sahihi sana@Santana
 
Naona umeamua kua Mtetezi wa "wanawake."
 
Umeanza tabia mbaya kama wenzako ya kumtamani Daby!![emoji17] [emoji17] [emoji17].......sina uhakika kama Stunter analijua hili!
toka hapa na tabia zako za uchonganishi. Hakuna mahali nimeonyesha kumtaman Daby.

Daby hebu mueleze huyu mkuu
 
toka hapa na tabia zako za uchonganishi. Hakuna mahali nimeonyesha kumtaman Daby.

Daby hebu mueleze huyu mkuu

Inabidi tuutangaze ushemeji wetu shem.

Au hawajui mimi na stun ni ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…