Nilizunguka zunguka nikusomeAsante Stunter!!!
Kivipi mkuu?Nilizunguka zunguka nikusome
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] kwanza nasikiliza ubungo kwa prezidaaaa,,,Kivipi mkuu?
Wajanja tumeshaelewa, Sema labda shem aliamua kufanya kisiraniMkuu STUNTER naona kama unanisema mimi maana usiku wa kuamkia leo nimeboost mpaka nikachemka asubuhi najiandaa kwenda job nikaona betri limejaa.
Ila nilikuwa nimekata tamaa kabisa nilitaka nikanunue betri la akiba niliweke karibu ili hili likibuma liwe linanisaidia lakini kwa vile limejaa acha nisitishe ununuzi wa betri jipya.