Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz