Hisia za mapenzi

Hisia za mapenzi

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz
 
pole mwaya, tafta councelling! huenda una tatizo la kisaikolojia!
 
labda kapoteza mvuto... mwambie a- spice up la sivyo mpige chini
 
pengine upendo kwake umepungua au umeenza kupenda kwingine,
 
Ila una visa!Nitakuja nikushauri!
 
bado nampenda na wala sijapenda pengine. bt nina mambo mengi yananikabili labda naweza kusema yanachangia ingawa sina uhakika!
 
Ila una visa!Nitakuja nikushauri!

visa gani tena ndugu yangu, bora uwe mgonjwa kuliko kupoteza hisia za mapenzi. nimekuwa zaidi ya mgonjwa. hii hali sikuwanayo hapo awali sijui imetoka wapi? naumia kweli...
 
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz

Ongeza juhudi kwenye mambo mengine kama, mazoezi, kutafutata fedha na kula vizuri. Mambo yote yakiwa safi, hisia za ngono zitakuja zenyewe.
 
yeye hana tatizo hata kidogo na wala hajapoteza mvuto tatizo lipo kwangu nimepoteza hisia

freeze hiyo activity ya ku-do kama miezi 6 au mwaka hivi ili urudi kwenye form... hope jamaa ataelewa
 
Nyakwara antony.!! yaani mjukuu wa antony ana mambo.....Kuna kipindi alikuja hapa na malalamiko ya kuumizwa kwenye mapenzi................Baada ya mambo kunyooka naona tena tatizo jingine - pole.

Sometimes Mapenzi mit sometimes mapenzi tek.......take easy,punguza wasiwasi......Kama unataka "apeleka" sema!
 
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz

kumbe ulipoteza hisia za malovee sasa unachukiaje hiyo hali wakati umeipoteza na chengine mshauri laaziz wako akufanye ujisikie hamu ya kudooo okey...
 
Nyakwara antony.!! yaani mjukuu wa antony ana mambo.....Kuna kipindi alikuja hapa na malalamiko ya kuumizwa kwenye mapenzi................Baada ya mambo kunyooka naona tena tatizo jingine - pole.

Sometimes Mapenzi mit sometimes mapenzi tek.......take easy,punguza wasiwasi......Kama unataka "apeleka" sema!

an okaduar apereka, yan nipo busy na mambo yangu lakn si unajua damu inachemka. sasa ikichemka nikiwa na laazizi napoteza hisia sitamani kuwa nae lakini nalazimika k
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3892247
 
Ongeza juhudi kwenye mambo mengine kama, mazoezi, kutafutata fedha na kula vizuri. Mambo yote yakiwa safi, hisia za ngono zitakuja zenyewe.

hapo umenena, mambo yangu hayaendi sawa huenda ndo chanzo cha tatizo
 
Hilo ni kama tatizo la kisaikolojia hivi, ni kama vile umeshindwa kufikia expectation zako kwake. Kwa lugha rahisi kile ulichotegemea kukipata toka kwake umeshindwa kukipata. Hali hii pia husababishwa na kusikia matukio ya mpenzi wako ambayo ni mabaya na ulikuwa hauyafahamu hapo kabla.
Jaribu kuchunguza, kufuatilia na kuyaongea yale ambayo yanaonekana ni kama migogoro midogo midogo ya mahusiano lakini kwa kiasi ndiyo imeweza kuchangia hali hiyo iliyokukuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom