Hisia za mapenzi zikifa unafanyaje?

@The choji
Umeumaliza mjadala kabisa, umemsaidia kitaalam zaidi
 
Kwa kujazia jazia tu, Kuna baadhi ya wanawake wao kabla ya kuolewa anakuwa mrembo siku zote na muda wote kwasababu anajitunza kwa usafi. Akisha olewa akawekwa ndani anajisahau anaanza kuwa mchafu, anakuwa hajijali hata kama mume anajitahidi kumjali. Nieleweke vizuri hapo nimesema baadhi yao sio wote.
Mwanaume siku zote anavutiwa na mwanamke mrembo (awe msafi), japokuwa anaweza akapita hata na house girl asiejipenda (mchafu mchafu) hapo ujue matanio yamemshika
 
Tulioko kwa Yesu hatuko hivyo. Huwa ninamuona mwenza wangu ni mpya kila iitwapo leo.


JESUS IS LORD!
 
Mmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha?

Nipo kitandani muda huu hakuna kinachoendelea.
Penzi au hisia zikifa, tafuta kampuni ya mazishi ifanye kazi yake. Usizisumbue hisia zako
 

Well said brother, Umeongea points za msingi sana na ushauri mzuri kwa pande zote mme+mke
 
Penzi likiisha fanya jitihada lianze upya, ukiona umeshindwa kabisa rudisha mpira kwa kipa,
Ila sijui utarudisha mipira mingap na kwa wangapi ss
Hii avatar ya sasa haifai kabisa...

Rudisha ile ya zamani pulizi ...[emoji16]
 
Aisee ushauri mzuri huu.

Vipi mkuu ushaoa? (Mume bora). Ubarikiwe
 
Wewe
Mmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha?

Nipo kitandani muda huu hakuna kinachoendelea.
Unashangaa saa saba hii wenzio tuna wiki ya tatu hakuna mwenye hamu na mwenzie
 
Amina
 
Nilikuwa nimepanga mwaka huu ila Korona imenivurugia ratiba [emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe umeshaolewa? (mke bora). Ubarikiwe pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaa Corona hii ,ila isijekua unaisingizia tu, mi naona ndiyo imerahisisha hakuna gharama za sherehe, ni wewe tu na bibi harusi wako imeishaa, Mimi bado mkuu ndiyo nilikua naulizia kama kuna chance[emoji3][emoji3] au nimpindue huyo mtarajiwa??

Ana bahati huyo atakayekua mkeo [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…