Reality: hitaji lako ni kuwa ktk ndoa/mahusiano na mtu mwenye sifa kadha wa kadha
Hisia: ktk harakati za kumtafuta, hisia zinadondokea kwa asie hata na 40% za uhalisia wa hitaji lako.
Reality: nature inayojua vema mahitaji yetu, inakuletea watu sahih 2 au 3 wanaokidhi uhalisia wa hitaji lako bt unawapiga chini coz hisia zipo kwa some1.
Hisia: zinaendelea kukudrive huku ukijua ulipo hapakidhi uhalisia wa hitaji lako na matokeo yake unaambulia kumuita majuto mjukuu.
FUNZO: ukiona hisia zinaenda kinyume na reality zikimbie upesi kabla hazijakuletea matatizo ya kujitakia.