Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Cjakuelewa, nni ina kutu? Na rangi ipi hujaipenda?mbona ina kutu hivyo! halafu hiyo rangi yake sijaipenda aisee!
si hiyo micro wave!Cjakuelewa, nni ina kutu? Na rangi ipi hujaipenda?
Umeiona wapi au ndo uchawi kwenye riziki ya mtu,, kama huna haja ya kununua don't mislead others pleasesi hiyo micro wave!
We unauza hata hujaikagua uone hiyo kutu??? Na huo ufa kwenye kioo uliliangusha au?Cjakuelewa, nni ina kutu? Na rangi ipi hujaipenda?
Mwekee picha ataacha mapicha picha yakeUmeiona wapi au ndo uchawi kwenye riziki ya mtu,, kama huna haja ya kununua don't mislead others please
hebu toka kule nilete uchawi kwenye kitu cha 120, ulitaka tukuombe picha nyang'au wewe!Umeiona wapi au ndo uchawi kwenye riziki ya mtu,, kama huna haja ya kununua don't mislead others please
Mbona picha hamna!!Nauza microwave brand hisense 20 litres, brand new kabisa, bei ya offer 120,000...
Tayari nishaekaMwekee picha ataacha mapicha picha yake
Mbona picha hamna!!
sawa biss,.hebu toka kule nilete uchawi kwenye kitu cha 120, ulitaka tukuombe picha nyang'au wewe!
Nauza microwave brand hisense 20 litres, brand new kabisa, bei ya offer 120,000...
Unauza box la microwave au microwave mkuu?
Hii picha ya google ndo mali yako unayouza?