Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Bila shaka hili ndo jibu sahii kabisa!nikiwa na sh 11 na senti 25 nitalipa lango la kas sh 5 na kubakiwa na sh 6.25 ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 12.50 then nalipa sh 5 kwenye lango la kus na kubakiwa na sh 7.50. Naendelea na safari tena mlango wa mash natoa sh 5 na kubakiwa na sh 2.50 then ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 5 nikilipa mlango wa magh nabakiwa na sh 0.
Bila shaka hili ndo jibu sahii kabisa!
nikiwa na sh 11 na senti 25 nitalipa lango la kas sh 5 na kubakiwa na sh 6.25 ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 12.50 then nalipa sh 5 kwenye lango la kus na kubakiwa na sh 7.50. Naendelea na safari tena mlango wa mash natoa sh 5 na kubakiwa na sh 2.50 then ikiongezeka mara mbili inakuwa sh 5 nikilipa mlango wa magh nabakiwa na sh 0.

Da umeniwahi mkuu, ndo nilikuwa nimepata hilo jibu nikawa nataka kuposti lakini nikasema ngoja ni-reflesh kwanza kuona kama kuna aliyepata ili kuondoa duplication ndo nikaona bandiko lako.
Ujanja hapa ilikuwa unaanzia mwisho (kuhakikisha unapata sifuri) halafu unarudi mwanzo.
Hongera mkuu!
The following user say Thanx to you Jaluo_Nyeupe for this wonderful & useful post. Avatar.
asante mkuu. Kumbe na mimi mtu mtu kidogo kwenye mambo ya number.
Da umeniwahi mkuu, ndo nilikuwa nimepata hilo jibu nikawa nataka kuposti lakini nikasema ngoja ni-reflesh kwanza kuona kama kuna aliyepata ili kuondoa duplication ndo nikaona bandiko lako.
Ujanja hapa ilikuwa unaanzia mwisho (kuhakikisha unapata sifuri) halafu unarudi mwanzo.
Hongera mkuu!
Kiprimary-primary, unaweza ukaanza tu na kuassume kiasi hicho cha Fedha ni X, kisha<br />
Raundi ya Kwanza: akatoa 5 mlango wa kwanza,ikadoble,kisha akatoa 5 mlango wa kutokea= 2(X-5)-5=2X-15<br />
Raundi ya Pili:alikuwa na 2X-15,akatoa akiingia 5, ikadouble,akatoa akitoka 5,ikabaki 0= 2(2X-15-5)-5=0; 4X-40-5=0;4X=45; therefore X=11.25<br />
<br />
Ambayo ni Tsh 11 na senti 25.
Mkuu umejitahidi sana aloo!.. Mi nilipolisoma nilikokotoaa weee hadi ikabidi nichungulie jibu!..
Kiprimary-primary, unaanza tu kwa kuassume kiasi hicho cha Fedha ni X, kisha
Raundi ya Kwanza: akatoa 5 mlango wa kwanza,ikadoble,kisha akatoa 5 mlango wa kutokea= 2(X-5)-5=2X-15
Raundi ya Pili:alikuwa na 2X-15,akatoa akiingia 5, ikadouble,akatoa akitoka 5,ikabaki 0= 2(2X-15-5)-5=0; 4X-40-5=0;4X=45; therefore X=11.25
Ambayo ni Tsh 11 na senti 25.
utata mtupu,ni hivi:kama malipo yanafanyika baada ya kuingia ndani,mkimbizi yuko sahihi.kama malipo ya kuingia ndani,jaluo nyeupe iko sahihi.kumbuka malango ya kuingilia ni kaskazini na mashariki.INATAKIWA UWE NA SHILLING 7.5/- yaani shilling saba na senti hamsini.
NADERIVE:
Assume unaingia na shilling x, ukifika ndani hela uliyoingia nayo itadouble na kuwa 2x.
Lakini itabidi ulipe shilling 5 kwa kuingia, kwa hiyo itabaki 2x-5
Ukitoka tu nje unakatwa tsh 5, so itakuwa 2x-10, hii ndiyo hela utakayoingia nayo mara ya pili.
Ukiingia tu inabouble na kuwa 2(2x-10)
Lakini itabidi ulipe shillingi 5 kwa kuingia, so itakuwa 2(2x-10)-5
Ukiwa unatoka utachajiwa Tsh 5, so itabaki 2(2x-10)-10
Sasa kwa kuwa unataka kubaki na shillingi 0, then equate yote equal to 0, 2(2x-10)-10=0
Solve for x, then unapata 7.5/-