Speculator
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 4
Kwani CRDB wenyewe hawajawaeleza wanahisa wake kwa nini hali iko hivyo?
Hapana, sina taarifa zozote. Inashangaza kwa nini CRDB haielezi wanahisa wake nini kinatokea. Ngoja na mimi nifuatilie nijue kinachotokeahapana mkuu, haijaelezwa...vipi una taarifa zozote kuhusu hii kitu utujuze pia?
Ndugu yangu Speculator, ebu nipe mwanga kidogo, nani amewakataza msiuzehisa zenu? Ni CRDB, DSE, serikali ay brokers? Mmeambiwa ni kwa nini hamruhusiwi kuuza hisa?Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?
Iwapo CRDB inatimiza mahitaji yote yatakiwayo na DSE mfano kutoa taarifa sahihi, nk; Serikali isaidie kitu gani?
Kushuka kwa thamani ya hisa kunaweza kutokana na sababu nyingi, na kunaweza kuwa kwa muda mfupi au mrefu. Biashara pia huweza kuwa mbaya kipindi fulani.
Kwa vyoyote ninyi wenye hisa ndio wamiliki wa CRDB na kwa ujumla wenu mna nguvu ya maamuzi kupitia kura katika mikutano yenu ya mwaka au mingineyo.
mbona CRDB wanatangaza kila mwaka kupata faida ya mabilions?
Iwapo CRDB inatimiza mahitaji yote yatakiwayo na DSE mfano kutoa taarifa sahihi, nk; Serikali isaidie kitu gani?
Kushuka kwa thamani ya hisa kunaweza kutokana na sababu nyingi, na kunaweza kuwa kwa muda mfupi au mrefu. Biashara pia huweza kuwa mbaya kipindi fulani.
Kwa vyoyote ninyi wenye hisa ndio wamiliki wa CRDB na kwa ujumla wenu mna nguvu ya maamuzi kupitia kura katika mikutano yenu ya mwaka au mingineyo.
With the current leadership I saw this coming down the pipes.
ulimwambia nani? au ndio u-TB JOSHUA huo