HISA NI FURSA

HISA NI FURSA

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
39
Reaction score
68
Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha

Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS,

Lakini wengi zaidi kwenye HISA sababu Kuna faida kubwa kubwa kuliko UTTAMIS na Bond

Muhimu upate Elimu ya kutosha

Tengeneza mkondo wa pesa Kwa kumiliki Hisa naimani itakusaidia na utapata faida sana ya PESA zako,

Epuka kutunza pesa Bali wekeza,

Pia ni msimamizi wa Kikundi Cha MILIONI SIYO HELA KUBWA

Ambapo Hadi saizi watu wamewekeza zaidi ya Milioni Kwa miezi mitatu tu wewe huogopi,

Hivyo basi Kuna darasa La siku 4 ambalo utaenda kujifunza HISA ni nini..

Utapataje faida,
Aina za kampuni na utawezaje kujua hii kampuni nzuri ya Kuwekeza,

Nitakufundisha na BOND Bure kabisa

Hili darasa ni kiingilio ni 20,000
Lakini Kwa watu watano tu lipia 14,999

Mwisho ni Tarehe 12 jumamosi Una siku 5 tu za kufanya maamuzi

Utalipia kwenda namba 0744980339 Mwakawasila

Ukimaliza njoo nikuunge Kwa group

Wekeza Mapema
 
1290871377.jpg
 
hisa sio fursa, Hisa ni njia ya makampuni makubwa kujipatia ela kwa ajili ya biashara zao! wewe unaweza kuona ni fursa ila wewe ndo unaloose kwa sababu watachukua ela yako watafanyia biashara watapata mabilioni alafu wewe utapewa sehem ndogo sana ya faida baada ya kikao

alafu fursa haiji ivo, fursa mara nyingi ni utashi wa mtu baada ya kuanalyse mazingira
 
Uzi ni mzuri sema hujajipambanua vizuri kwenye post yako.Weka faida kwa wateja wako na pia ueleze kama uko registered na utoe maelezo ya kutosha kwa wateja wako.Uzi unaonekana kuwa too good to be true.
 
Kumeanza kuchangamka!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha

Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS,

Lakini wengi zaidi kwenye HISA sababu Kuna faida kubwa kubwa kuliko UTTAMIS na Bond

Muhimu upate Elimu ya kutosha

Tengeneza mkondo wa pesa Kwa kumiliki Hisa naimani itakusaidia na utapata faida sana ya PESA zako,

Epuka kutunza pesa Bali wekeza,

Pia ni msimamizi wa Kikundi Cha MILIONI SIYO HELA KUBWA

Ambapo Hadi saizi watu wamewekeza zaidi ya Milioni Kwa miezi mitatu tu wewe huogopi,

Hivyo basi Kuna darasa La siku 4 ambalo utaenda kujifunza HISA ni nini..

Utapataje faida,
Aina za kampuni na utawezaje kujua hii kampuni nzuri ya Kuwekeza,

Nitakufundisha na BOND Bure kabisa

Hili darasa ni kiingilio ni 20,000
Lakini Kwa watu watano tu lipia 14,999

Mwisho ni Tarehe 12 jumamosi Una siku 5 tu za kufanya maamuzi

Utalipia kwenda namba 0744980339 Mwakawasila

Ukimaliza njoo nikuunge Kwa group

Wekeza Mapema
Naiona DECI, Jandu na Mr. Kuku nyingine zinakuja taratiiibu
 
Back
Top Bottom