Hip hop Facts Thread

Ni kweli man, underground ndo wanafanya hip hop inañg'ara. Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi[/QUOTE]
 
Kwenye hii list kuna wengi walitakiwa kuwepo.
Ukimuondoa Nas na Rakim hao wengine waliobaki hawafanyi/hawakufanya hip hop kwa jinsi inavyotakiwa.
According to billboard awa ndio mcs wakali kuwai kutokea duniani




1. BIG POPA

2. Jay Z

3. Eminem

4. Rakim Allah

5. Nas

6. Andre 3000

7. Lauryn Hill

8. GhostFace Killa

9. Kendrick Lamar

10. Lil Wayne
 
Kwenye hii list kuna wengi walitakiwa kuwepo.
Ukimuondoa Nas na Rakim hao wengine waliobaki hawafanyi/hawakufanya hip hop kwa jinsi inavyotakiwa.

Duuh so now Eminem hajafanya Hip Hop inavotakiwa


The Notorious Big na Brooklyn’s finest Jay z


Daah bro ulianza vizuri na niliamini u know a lot about Underground Hip Hop ila there is no way ukiwa unafuatilia Hip Hop atleast kwa uchache ukasema Slim na Jay hawafanyi Hip Hop...!!
‍♂️
‍♂️
‍♂️
‍♂️



By the way who is your favourite MC?ili uone huyo favourite wako yenyewe Em na Jay ndio Favourite wake
 
Lil Wayne kabla ya Tha Carter III labda....ila baada ya hapo kawa hovyo.
hits & misses nyingi
 
Hiphop imezaliwa 2007 ?? Jamani
 
Hiyo list namashaka nayo... Eminem juu ya Nas na Notorious na huyo jigga kaingiaje top 5.kwa Tupac wapo sahihi kabisa.
Ahahaaaah...
Mkongwe, yaani unashangaa EMINEM kuwa juu ya Nas..!?
Ni nini kinakufanya ushangae haswa..?
 
Ahahaaaah...
Mkongwe, yaani unashangaa EMINEM kuwa juu ya Nas..!?
Ni nini kinakufanya ushangae haswa..?
hii ndiyo top 10 legend best hiphop ,nafasi ya 2pac itabaki palepale pengo lake halizibiki,ila hapo kafanikiwa kijana mmoja machachali ambaye si mkongwe ila kulingana na uwezo wake inabidi awepo ,kendrick Lamar


2pac
Natorious
Eminem
Ice Cube
Nas
Rakim
Common
Dr Dre
Lupe Fiasco
Kendrick Lamar
 
Simuoni BIG kwenye list yako mkongwe..!
 
Simuoni BIG kwenye list yako mkongwe..!
nimemuweka natorious kwa sababu ya heshima yake ,,ila si mtu wa maajabu kivile kwa upande wa uandishi,,,,,na nimemtoa jay Z kwa sababu yaani kama unafuatilia hiphop utajua nini naanisha,,,,,,
jay z kuna vitu alivifanya hapo nyuma vilikuwa sawa ila kuna vitu analoose
 
tofauti ya Nas na Eminem ni hii Eminem anafanya vitu vingi mfano ni mwandishi mzuri sana ,anaweza kupita kwenye beats tofauti tofauti,kwa upande wa freestyle hagusisi na anaweza kujiswitch kwa flow still bado akabaki kuobekana ni mwana hiphop ,tofauti na wasanii wengine wakiswitch wanapoteza ile rafha yao wanapotea kabisa
 
Jamaa anakwambia Eminem ni overrated..!
 
Simple mzee Nas is a better lyricist.
Lyrically Nas destroys Em any day.
Sincerely if Em was black he would just be an average rapper .
Hana content ukiondoa stan, flow wise Nas yupo on top, Delivery wise Nas beats Em too.
Overral Nas has better albums
●Illmatic (classic of classics)
●It Was Written
●The Lost Tapes
●Stillmatic
●God’s Son
●I Am…
●Hip Hop Is Dead
●Life Is Good
●Street’s Disciple
●Untitled
●Nastradamus
Hu-forward nyimbo ukizikiliza hizi album.
 
Hakuna kipya utakachonielekeza kuhusu Em wala Nas..!
Sijawahi kukutana na list inayomuweka Nas juu ya Em, mimi pia sijawahi kufikiria kufanya hicho kitu..!
Album za Nas ninazo kama zote, hizo za Em ninazo zote, so hauwezi kunidanganya chochote kuhusu hao watu..!
Kwangu mimi Eminem ndio rapa bora wa muda wote, sikulazimishi kukubali mawazo yangu..!
Nimetumia masikio yangu na ubongo wangu katika hili...
Nas mkali kuliko Em, naaaah...
Let's agree to disagree chief..!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…