OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,125
- 24,060
Ni kweli man, underground ndo wanafanya hip hop inañg'ara.
Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi[/QUOTE]Billboard is industry centric, kwenye hiphop you have to consider loco and underground MCs, yani pamoja na ufahamu wako kwenye hiyo list kumkosa mtu kana krs-one haikupi shaka?
Fuatilua hiphop vizuri, na hiphop ya kweli haiko billboard wala kwenye mainstream media....