Hints: Kwa 1st year muhas

Hints: Kwa 1st year muhas

Andika vizuri ndo uje kuwashauri watu
Habarin za wakat huu wana Jf
Kama una ndgu yako anatarajia kujiunga na Muhimbil University bac ningependa kuwaqumbuxha yafuatayo:
1) Ondoa dhana ya kwmba chuo bata, kwa muhas utaxoma kama advance. Vpnd Kuanzia saa2 asbh had saa11 jion ,hakuna utan
2). Boom n pexa ndogo sana so jtahd kubalance matumz kama unajua huna back up ya watu wa kukuxaidia. Ucje ukashndia mkate na maji
3) Shule n ngumu sana so jtahd kuwa serious mwanzon kwan ukiwa na sup mbil sem 1 uwezkano wa kudisco n mkubwa.
Note: Ukitaka GPA kubwa na kusoma kwa kurelax nenda private eg KCMC Bt kma unataka kuxoma ktk mazngira magumu Karbu MUHAS.
 
Halafu siku hizi elimu inayotolewa karibu vyuo vyote vya serikali ni sawa tu kinachotofautisha ni juhudi za mtu na vifaa vilivyopo mahala husika...kwahiyo acheni kuwatisha watu ukisoma Muhas ndo unakua Comptent kuliko wengine au elimu ya Muhas ngumu kuliko vyuo vingine.
 
Kama unapaona MUHAS pagumu basi wewe ndio bolizozo mburukenge.. Kama mtu ameweza pata pass marks za kujiunga hapo sioni kitakachomshinda unless aliibia mtihani.

NB: Andika vizuri umeshakua mkubwa, hizo xx ni upuuzi.
 
Pexa=Pesa
utaxoma=utasoma
kuwaqumbuxha=kuwakumbusha
 
Ugumu au urahisi wa masomo ni mtu mwenyewe kuamua, muhas hakuna lolote cha kuwatishia watu kiasi hicho wewe kama umekutana na ugumu basi amua pawe rahisi kwako, hakuna cha kutisha hapo
passing with flying colors
 
Kama unapaona MUHAS pagumu basi wewe ndio bolizozo mburukenge.. Kama mtu ameweza pata pass marks za kujiunga hapo sioni kitakachomshinda unless aliibia mtihani.

NB: Andika vizuri umeshakua mkubwa, hizo xx ni upuuzi.
mkuu kama ingekua pass mark ndio kigezo disco mbona zipo? izo changamoto zpo na znazowafelisha watu kama hujui kaa kmya
 
Back
Top Bottom