Hillary Clinton nae avunja record ya kutalii dunia

Yule anazunguka kukagua miradi inayoingizia kipato na ajira kwa waamerika wakati huyu wetu anaishia kukenua meno ,utadhani wazungu wananunua meno
 
Sasa wewe unalinganishaje?......Marekani na Tanzania ni kama mashariki na magharibi hazitakaa zikutane kamwe!

Kwa hiyo unataka tumwambie JK aongeze zaidi safari au?
acha mawazo mgando , utajili wanauchuma wapi; kwa taarifa yako Africa ndo noma
 
Mind u Hillary Clinton ni waziri wa Mambo ya Nje na Kikwete ni Raisi I think it will be fair if ukimlinganisha Obama na Kikwete.Then Hilary Vs Membe
 
Kwahiyo ndio mna justify safari za mkulu?

Hillary anasafiri hivyo KIKAZI; ni waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Huyu Mkulu kwani hana Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje? Au kuna wakati anajisahau na kudhania bado ni Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje?
 
Tuesday morning, the former first lady completed an epic 13-day journey of 27,000 miles — about 2,000 miles more than the circumference of the Earth — through and over Europe to Asia and then doubling back to the Middle East.

source..yahoo

so wt? aint logical
 
Pole sana kwa uelewa finyu ndugu yangu, kinachoongelewa hapo ni maili na sio idadi ya safari, ninaamini kabisa ukipembua yakinifu bado kwa safari 331 jk hatakuwa hana mpinzani!
 
Tuesday morning, the former first lady completed an epic 13-day journey of 27,000 miles - about 2,000 miles more than the circumference of the Earth - through and over Europe to Asia and then doubling back to the Middle East.

source..yahoo
Siku nyingine jaribu kutumia kichwa kufikiri, sio makalio, Clinton ni kama membe na shughuli yake kubwa ni kusafiri.
 
Pole sana kwa uelewa finyu ndugu yangu, kinachoongelewa hapo ni maili na sio idadi ya safari, ninaamini kabisa ukipembua yakinifu bado kwa safari 331 jk hatakuwa hana mpinzani!

Kweli kabisa bro..kinachozungumzwa ni urefu wa safari (miles)..na wala sio idadi ya safari..ndio maana waka 'refer' na world's circumference!!..Na kama ulivyosema JK bado hana mpinzani kama tukihesabu kwa 'miles'
 
Tuesday morning, the former first lady completed an epic 13-day journey of 27,000 miles - about 2,000 miles more than the circumference of the Earth - through and over Europe to Asia and then doubling back to the Middle East.

source..yahoo
huyu ni waziri wa mambo ya nje so kuwa nje ni sehem ya kazi yake! weak comparison!
 
Pole sana kwa uelewa finyu ndugu yangu, kinachoongelewa hapo ni maili na sio idadi ya safari, ninaamini kabisa ukipembua yakinifu bado kwa safari 331 jk hatakuwa hana mpinzani!

OK naza mikoani ,wilaya, tarafa na kata???????????
 
Kwahiyo rais wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ndo anashindana na mama clinton?
 
Mind u Hillary Clinton ni waziri wa Mambo ya Nje na Kikwete ni Raisi I think it will be fair if ukimlinganisha Obama na Kikwete.Then Hilary Vs Membe

Mkulu kapoka job description ya Membe, yake imemshinda.
 
kwani si ndio kazi yake kama waziri wa mambo ya nje, sijui kwanini Membe yupo nchini kutafuta urais na akienda nje atakumbukwa kwa kuwa mouthpeace ya akina ghaddafi na wakora wengine.Kikwete badala ya kuwa nchini anakwenda nje-hajijui kuwa si waziri wa mamabo ya nje tena

yaani sisi utafikiri membe ndio rais na kikwete ni waziri wa mambo ya nje...kuhusu hilary ni wajibu atembee sana maana marekani ni kama vile inatawala dunia lazima wapite kila sehemu sasa baadhi ya sehemu huyu mama amekanyaga ni afghanistan, cambodia,latvia,vietnam...sehemu zenye shida, maafa na matatizo kibao..kikwete akisafiri unasikia kaenda kwenye sherehe za uhuru wa rwanda, mara huyo kwenye sherehe za chama botswana...my oh my...hatufiki namna hii
 
thats true-ila wanajua wanachofanya na tazxpayer wao hawaumii-si kama hapa tz
 
kweli hawa ccm wanamatatizo sana,mimi nashangaa hata baba wa taifa alishawahi kusema huwezi fananisha tanzania na nchi za ulaya na marekani wakati anaongelea swala la globalization,sasa sijui huyu aliyeweka hii thread alikuwa anamaanisha nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

huyo baba wa taifa ndiye aliwazaa watanganyika, kumbe wewe ni lekakui nyerere ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom