Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,508
- 1,338
Mkuu, point kwako mpaka tumsifie Dk Slaa? Halafu nitafute umaarufu wa nini wakati wote humu JF, tupo undercover
Magamba at work, nisalimie mkuu wako asiye na akili Nepi
Mkuu, point kwako mpaka tumsifie Dk Slaa? Halafu nitafute umaarufu wa nini wakati wote humu JF, tupo undercover
Hapo kwenye red point yako ni nini-kwamba nchi ndogo ndizo zinazoweza kupiga hatua kuliko nchi kubwa katika maendeleo au (Development=1/A of the country)? Nyie magamba bana, sjui mmesoma vitabu gani wenzetu huko vyuoni! lolAcha uongo, kwenye red
1. Rwanda ni sawa na mkoa wa kigoma tu, kwa hiyo hawawezi
2. Ni kweli chedema walishinda huko karatu, moshi na Arusha kwa urais lakini si tanzania yote. Jakaya won election tuache uongo na ubabaishaji. bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa Tz yetu. Nakushauri tembea Tanzania. ni zaidi ya kapo kaskazini ulipo. kuna kusini, magharibi, mashariki na kati pia.
Anyway kama hutaki leave me alone na nenda kapalilie ndizi na kapige dawa mikahawa.
Mkuu, point kwako mpaka tumsifie Dk Slaa? Halafu nitafute umaarufu wa nini wakati wote humu JF, tupo undercover
ile methali isemayo CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA Bado inafanya kazi? mbona hoja ya kutuaminisha kikwet+e alishinda wkati kesha apishwa siku nyiiingi hamtutangazii ubovu kweli!!!! tulitaqajia rais apendwe,aungwe mkono, aheshimiwe, kinyume chake tunaambiwa tumdharau kikwete, hatukioni cha kumuunga mkono, tunampenda kwa jambo gani? TOENI MAPOROJO YA USHINDI WA JK KAMA MNA EZA WATUMIKIENI WATAN ZANIA..Acha uongo, kwenye red 1. Rwanda ni sawa na mkoa wa kigoma tu, kwa hiyo hawawezi 2. Ni kweli chedema walishinda huko karatu, moshi na Arusha kwa urais lakini si tanzania yote. Jakaya won election tuache uongo na ubabaishaji. bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa Tz yetu. Nakushauri tembea Tanzania. ni zaidi ya kapo kaskazini ulipo. kuna kusini, magharibi, mashariki na kati pia.Anyway kama hutaki leave me alone na nenda kapalilie ndizi na kapige dawa mikahawa.
Acha uongo, kwenye red
1. Rwanda ni sawa na mkoa wa kigoma tu, kwa hiyo hawawezi
2. Ni kweli chedema walishinda huko karatu, moshi na Arusha kwa urais lakini si tanzania yote. Jakaya won election tuache uongo na ubabaishaji. bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa Tz yetu. Nakushauri tembea Tanzania. ni zaidi ya kapo kaskazini ulipo. kuna kusini, magharibi, mashariki na kati pia.
Anyway kama hutaki leave me alone na nenda kapalilie ndizi na kapige dawa mikahawa.
Kwa mibwege kama wewe kutakuwa na maendeleo kweli,swala la maendeleo ya nchi yetu sio la chadema na Dr slaa,ni la kwetu wote regardlss of itikadi za chama chako,kwa bahati mbaya au nzuri chama kilicho madarakani ni CCM,so ni lazima tukikosoe ili kiweze kuleta maendeleo kwa manufaa yetu sote,sio unakaa kumbeza Dr slaa.
Tatizo kuna watu wanaenda nje ya maada!
Lets try to evaluate ourselves as one family, tunajivunia nini wabongo ambacho wengine hawana zaidi ya kuwa na natural resources ambazo hatuzitumii pamoja na kujaaliwa na mwenyezi mungu tukaweza kutambua uwepo wake?
Ukiulizwa Tanzania inafanya vizuri katika sekta ipi utajibu nini wajameni zaidi ya kusema ooooh, tuna Mlima Kilimanjaro, mara mbuga za wanyama mara ziwa Victoria hivi vyote vipo naturally, sasa mtu aseme sisi kama taifa tumetengeneza nini cha kwetu ( Technolojia yetu nini, nyumbu-kibaha?
Mikokoteni-shy, tabora, mwanza etc? Biogas technology ya Carmatec wanaitumia Rwanda, kila kitu tunaimport) So, we don't need to find a witch for our own family tunajijua mwanzo mwisho.
Nenda vyuo vikuu, utakuta Prof hana maabara unategemea atafanyeje kazi, licha ya hao Prof kuwepo, hatuwatumii inavyotakiwa wanaishia kukimbizana na wanasiasa kutafuta mikate ya watoto, huku tukisahau huyu prof alisomeshwa ili aandae vijana kwa ajili ya taifa.
Kuvutia wawekeza, hatukatai, lakini transparency hakuna unategemea watu watakuwa na ari ya kufanya kazi bila motisha (not neccessary to be money). Haya jamaa wanawekeza, lakini manpower hakuna kama ipo haitoshi na sheria zetu hazipo wa ajili ya kulinda usalama wa nchi, ni kwa ajili ya viongozi na vyama, ni vurugu tu wanaJF! why not bring their own workforce, wanakomba kila kitu.
Sisi hadi tuache ushabiki wa kijinga ndo tutajua kuwa tunajichelewesha sana tunaposhabikia vitu vya kipuuzi wakati ukweli uko wazi.
Basi kama wewe ni ccm ujue kwamba siku ile alikuwa anawakoga tu alipozungumza na presido wenu asiye na mwelekeo.Kwa hiyo Chadema-JF, mmejifariji kwa kutoitaja Tanzania?
I take your point 1000%Tatizo kuna watu wanaenda nje ya maada!
Lets try to evaluate ourselves as one family, tunajivunia nini wabongo ambacho wengine hawana zaidi ya kuwa na natural resources ambazo hatuzitumii pamoja na kujaaliwa na mwenyezi mungu tukaweza kutambua uwepo wake?
Ukiulizwa Tanzania inafanya vizuri katika sekta ipi utajibu nini wajameni zaidi ya kusema ooooh, tuna Mlima Kilimanjaro, mara mbuga za wanyama mara ziwa Victoria hivi vyote vipo naturally, sasa mtu aseme sisi kama taifa tumetengeneza nini cha kwetu ( Technolojia yetu nini, nyumbu-kibaha?
Mikokoteni-shy, tabora, mwanza etc? Biogas technology ya Carmatec wanaitumia Rwanda, kila kitu tunaimport) So, we don't need to find a witch for our own family tunajijua mwanzo mwisho.
Nenda vyuo vikuu, utakuta Prof hana maabara unategemea atafanyeje kazi, licha ya hao Prof kuwepo, hatuwatumii inavyotakiwa wanaishia kukimbizana na wanasiasa kutafuta mikate ya watoto, huku tukisahau huyu prof alisomeshwa ili aandae vijana kwa ajili ya taifa.
Kuvutia wawekeza, hatukatai, lakini transparency hakuna unategemea watu watakuwa na ari ya kufanya kazi bila motisha (not neccessary to be money). Haya jamaa wanawekeza, lakini manpower hakuna kama ipo haitoshi na sheria zetu hazipo wa ajili ya kulinda usalama wa nchi, ni kwa ajili ya viongozi na vyama, ni vurugu tu wanaJF! why not bring their own workforce, wanakomba kila kitu.
Sisi hadi tuache ushabiki wa kijinga ndo tutajua kuwa tunajichelewesha sana tunaposhabikia vitu vya kipuuzi wakati ukweli uko wazi.
umekua mtu mzima wewe shossi hebu acha kuchochea unafki...................
hapo kwenye yellow kwani ile mikutano ya CDM ilikuwa ikipigwa maeneo Rukwa,Mbeya, Iringa na Ruvuma nako ni kaskazini mwa Tanzania au jiografia yangu haiko sawa nini?Acha uongo, kwenye red
1. Rwanda ni sawa na mkoa wa kigoma tu, kwa hiyo hawawezi
2. Ni kweli chedema walishinda huko karatu, moshi na Arusha kwa urais lakini si tanzania yote. Jakaya won election tuache uongo na ubabaishaji. bila shaka wewe utakuwa mtu wa kaskazini kwa Tz yetu. Nakushauri tembea Tanzania. ni zaidi ya kapo kaskazini ulipo. kuna kusini, magharibi, mashariki na kati pia.
Anyway kama hutaki leave me alone na nenda kapalilie ndizi na kapige dawa mikahawa.
Hivi kusema ukweli ndio kuumbua? nina mashaka na magreat thinkers wetu...............