Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,144
- 143,758
Hii picha imepigwa siku moja baada ya uchaguzi na mdada ambaye alikuwa akitembea kwenye milima huko Chappaqua, NY.
Bill na Hillary walikuwa wakitembea na mbwa walipokutana na huyo mdada aliyeibandika hiyo picha kwenye mtandao wa Facebook.
I definitely feel her pain. Losing hurts especially in the way in which she lost.
Couldn't help but feel a pang of pity for her.
Yeah...she'll get over it.It surely hurts, particularly having elicited so much hope, so much promise! But she is a strong woman, she shall overcome and move on, We wish her a quick recovery and a softer landing. God bless you Hillary.
Ivi hayupo chini ya uangalizi wa secret service tena
Hahaha, Kiza Basigye kala kona Uganda baada ya kuona Mseven anamletea mapicha picha.Hawa jamaa system za maisha ni tofauti nasisi......
Hawa siasa sio uadui kma sie huku...
Mshindi anampongeza thn maisha yanaebdelea nahiyo ni kwasababu free and fair election......
Sisi sasa akina kiiza besyige ni mtiti na moto....lazima mtu atiwe jera ndo mshindi anaaapishwa...nahii bcoz no free and fair elections....lazma mtu adai haki yake kwa forces
Yeah...she'll get over it.
But damn....losing sucks man.
Una maana wagombea walioshindwa huwa wanaendelea kulindwa na secret service mpaka mwisho wa maisha yao!? Nini hasa mantiki ya USA kufanya hivyo.Ulinzi atakuwa nao hadi siku yake ya mwisho.
Hapo hawapo tu kwenye picha lakini wapo karibu naye.
Kumbuka pia kwamba huyu ni mke wa rais mstaafu. Naamini yeye na mumewe ni lazima walindwe mpaka mwisho wa maisha yao.Una maana wagombea walioshindwa huwa wanaendelea kulindwa na secret service mpaka mwisho wa maisha yao!? Nini hasa mantiki ya USA kufanya hivyo.