huu ni uongo na no one can prove this....hadithi za kusadikika hizi.
ngoja niweke kwny lugha rahisi sana mechanism of erection.....pamoja na factors nyingi kuwepo(ambazo sizitaji makusudi ili kuifanya iwe rahisi) ili mtu asimamishe anahitaji damu iende ikajaze sponji sponji ya uume.na hiyo damu inabidi ipitie kwenye mishipa ya damu direct from the heart.....sasa basi mtu akifa nini kinatokea kwny damu? hiyo achana nayo kwanza ni ngumu pia....ila wote tunajua mtu akifa moyo unasimama kusukuma damu,kwa lugha nyepesi pia mzunguko wa damu nao unasimama mwili mzima....kwahiyo no pumping heart ,no blood circulation ,no blood to the penis,NO ERECTION ,NO COITUS.