Hili wimbi la nguvu za kiume

Hili wimbi la nguvu za kiume

Nina jinsi ya kusaidia mtu yoyote mwenye tatizo la nguvu za kiume aweze kupiga hadi goli tano bila kuchoka unatumia week tu tatizo limeisha unaandaa mwenyewe ndani ya dk tano tu gharama zake ni tsh elfu tano tu,ni pm0712505049
 
dawa ni kuacha punyepo+acha kuangalia porn+fanya mazoezi+kula vizuri!!
 
Nina jinsi ya kusaidia mtu yoyote mwenye tatizo la nguvu za kiume aweze kupiga hadi goli tano bila kuchoka unatumia week tu tatizo limeisha unaandaa mwenyewe ndani ya dk tano tu gharama zake ni tsh elfu tano tu,ni pm0712505049

Wewe sasa unataka kuua watu. Sa goli tano zote za nini? Ni mashindano au? Umesahau yaliyomkuta tajiri wa Bukoba eeh? Goli za kulazimisha sana sio dili wala nini, presha itakuua!!
 
Itabidi kesho nijaribu punyeto, mbona mnaisifia sana???
 
Nasikia wanaume wafupi wa kimo hii sio issue kwao, tatizo ni kwa matall.
 
mkuu usijali nitaku pm si unajua kizuri kula na wenzako. Lakini tatizo keshaolewa na mpemba mmoja wakuja

Puu.mbavu zako kwani mpemba sio mtu kubwa jinga punguza unene utakufa kwa pressure
 
Hivi kwanini sikuhizi kupungukiwa nguvu za kiume ni ishu sana? (Upungufu kwa maana ya kutosimamisha, sio kutotoa mbegu hai). Kwamba wanawake siku hizi wanapenda ngono sana? Na wanaume wanahangaika kuwaridisha? Kila mtu nguvu za kiume, nguvu za kiume, nguvu za kiume! Mbona mademu wengi tu magogo kwa bed lakini hatuwatafutii dawa? Yaani unaenda na demu sehemu, halafu ni jukumu lako kuhakikisha m.boo inasimama na unato.mba, yeye hafanyi kitu chochote. Halafu isiposimama eti anashangaa!!! Kunatakiwa kuwe na stimulus ndio isimame bana!! Eti mpo wote kitandani amejigeuzia huko, hana time na wewe, halafu out of the blue analeta mkono anaigusa, anakuta imelala anaguna tu!! Halafu eti anashangaa kwanini kaikuta imelala!! Eti anauliza una matatizo??????? Yaani anataka isimame yenyewe, kwani kijiti hiki ebo!!! Ikisimama kila saa si ntakuwa kichaa?
Yaani mi nisiposimamisha ni ishu hivo kwa walimwengu?

Kulingana na maelezo ya mtoa mada inaonyesha dhahiri ana tatizo lkn co kubwa km mmoja aloeshauri aache punyeto na kufsnya mazoezi na kula vzr co chips. Dawa kubwa ya tatizo hili mi Asali mbichi, anza kwa kunywa vijiko vya chakula, viwi asubuh, viwili mchana na viwili ucku kabla hijalala kwa muda wa wiki mbili af baada ya hapo uwe tu unaunga kwenye chai vijiko vikibwa viwili badala ya sukari. Lita 1 ya asali mbichi haizid elf10. Baada ya hapo utaona dalili za uponaji mojawapo ni uume kusimama sana wakati wa kuamka asubuh. Bt plz ucpige punyeto kisha omba gemu, utja adithia hapa na ucache matumiz ya asali. Ucdanganywe km kina mtu ana dawa zs kienyeji ni waongo wala uctumie za kisasa znaathiri moyo utaja kufa ghafra. heri la heri
 
Utoto bwana....!!
Hebu jitahidi kusoma makala yahusuyo haya mambo vizuri..google hata katk mitandao mbali mbali utajipatia ufahamu mwingi tuu..

Mwanaume haitaji matayarisho kama mwanamke coz mwanaume yeye kusimamisha haraka anauwezo. ila mwanamke anahitaji matayarisho coz ya mwanaume inaingia na asipopata tayarisho vizuri huchubuka.

Mwanaume kutosimama ni udhaifu...ahhh kukuelezea siwezi ila jitahidi kusoma SOMA

Back
Top Bottom