Hili wazo tigo wamepata wapi?

Hili wazo tigo wamepata wapi?

Kumbe sikuona peke yangu, utaokoaje bando ilihali hujapiga wewe??!.
Haitakaa itokee sim Nipige Mimi bando uokoe wewe.
Ni ajabu sana
Me pia hayo maongezi yananikera bora waweke Alarm tu.
Sasa utasikiaje saut nyororo ya wadada pale tigo
Kushikiria = kushikilia
Arikua ni chacha mura
Wameleta mdada mbadala wa alarm .
Hatutaki kumsikia
Hii kitu kwa kweli tigo wanaboa
So true
Lakini yote kwa yote sio lazima kukumbusha wao majukumu ya ni kuhakikisha kama unapiga simu una salio haijalishi ni dakika ngapi prepaid unapangiwa tena matumizi wao wasubiri dakika ikate kwani ni bure?.
Wananikumbusha dk zimeisha wakati najua
Ile ni notification kutoka tigo
Nataka ni ifute kma ni notification
 
Back
Top Bottom