Hili tu ndo linanipa wasiwasi.......

Aiseee babaangu we jina lako ni surn unataka uitwe mpenzi la nini ungemwambia baba yako akubatize jina la mpenzi ili uitwe ivyo
Namshangaa braza kakomalia maigizo...

Majina hata kwenye kanga yapo tu, wewe angalia matendo kama yana ukweli ndani yake
Mwishowe ataitwa baby mbele ya wanawe..angejua wizi mtupu asingesema aisee..

jina ndo mpango mzima...hayo mengine wizi mtupu......
Ni kweli mkuu jina ni lile ulilopewa na wazazi wako haya mengine mbwembwe tu..Kama vipi nayeye si amchunie tu amuite jina lake.

nani kakuambia akikuita mpenzi ndio anakupenda? acha mapenzi ya kwenye sinema
Kweli bro uliona wapi jina likaliwa ..mradi unampa matumizi na yeye anakupa kipochi manyoya haya mengine potezea tu. Kama vipi Kongosho kaamua kumuita kwa niaba sijui atapenda au mpaka itoke kwa mrs SURN
 
Last edited by a moderator:
Usipende kuforce mambo mkuu, watu tunatofautiana sana...... Wengine hawajazoea hayo mambo ya kuitana mpenzi.
Cha muhimu ni matendo yake kaka, by the way miezi miwili bado ni muda mfupi, endelea kuwa nae na muonyeshe mapenzi ya dhati, naamini ipo siku moja atakuita mpenzi na majina yote mazuri.
 
Kuna baadhi ya jamii za kiafrika huona kitendo cha kuita mpenzi ni cha kuonyesha weakness na hivyo kimakuzi yao hawa-display affection, pia ktokana na makuzi na familia wengine hayo amneno yapo mbali mno.... Ila kama unapewa yote jina kitu gani.....wengine wanaitwa lakini ndani hawaoni....:alien::alien:
 
enh! Kaunga kwani lile thredi lako lini linaanza kufanyiwa kazi?

I think this is a genuine concern ya muuliza swali, na kwa maini yangu inafaa sana kuwemo humu na majibu anayoyapata ni mazuri. Lile ombi langu lengo lake ni kuwepo na kijijukwaa cha topics pasua kichwa zinazohitaji real thinking na ambazo hajitachakachiliwa.

Si umeona topics zinazofanywa kuwa mabandiko (sticky), tofauti na sasa ambapo bado naweza ingia na kuanza kuchakachua na kumention washikaji wanisaidie, basi hicho kijijukwaa hiyo access iwe limited!

Nafikiri umenipata. We are not of the same age n experience; so watoto walete tu maswali yao na yajibiwe ili wanuafaike na majibu, si kila mzazi yupo open kuomgelea maswala ya mapenzi na mahusiano.

My son will turn 12 next year, l hope akiingia humu apate elimu ya kujenga na si kupotosha! BTW, nippngezeni amemaliza elimu ya msingi jana! Hurrrey!
 
Last edited by a moderator:
sijui niseme, anyway..me binafsi nampongeza kwa sababu anajiamini na hajaiga, majina kama bebi, mpenzi, sweet haya yanatokana na hisia za mtu kwa mpenzi wako, na hisia hizi husababishwa na matendo uliyomfanyia hususani Suprize, au Gift without reasons (kumzawadia mwandani, mpenzi) siyo lazima iwe idd, 88 au 77 au xmas....you just show how much you love her and how much you care about her. Then hata akikuita Jina lako anaita kwa staili fulan and you will enjoy
 
Jamani Surn? Hvi unahc kutamka jina mpnz ni kazi sana? Anaweza hta akuite mume/mke wang bt mapenz hayapo hlo ni jna 2. Nina 2yrs na mchumba wng bt neno bby au mpnz cjawah kuckia bt kijana hajiwez kwng, kwahyo hayo majina ni mbwembwe 2 pia inawezekana mkawa mnapangwa 6 na wote mnaitwa mpnz, huyo mchumba wako ana akili sana, anajua anachokifanya. Kwahyo km vp potezea hayo majina.
 
hawezi kukuita mpenzi kwa sasa kwa sababu mtu aliyekuwa anamuita mpenzi kamtenda na kamuumiza, hivyo siku akipona majeraha yake na akajifunza kukupenda anaweza kukuita mpenzi..kuwa na subira
 
surn eeh usiangushe bana kwani hakupi?sasa kutokuitwa mpenzi unalalamika ukinyimwa si utajiua wewe?kama angekuwa anapanuwaa nusu nusu mi ningejali lakini kama anaachia yote sina neno mimi.nakutakia mapenzi mema.
 
mh! Unaweza kuitwa majina yote mazuri duniani na huyo mpenz wako lakini moyoni mwake haumo hata theluth tena ukimlazimisha atakuita kukuridhsha 2 na c kutoka moyoni.
 
Jina mpnz so ishu! Anaekwita jina lako ipasovyo,, imean kamil! Uyo ndo great kulko anaekwita mpnz... Stuka mzazzz... Na atakusumbua!!
 
kesho tena utakuja kutuuliza mbona hakuiti babe....! ana mapenzi ya kweli na kukujali? those are the thinx that may be cud give u headache, mambo mengine hayo kawaida tu
 
Back
Top Bottom