Hili tu ndo linanipa wasiwasi.......

Hili tu ndo linanipa wasiwasi.......

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Nina mpnz wangu nampenda sana na yeye anadai ananipenda.lakn chakushangaza mimi tu ndo namuita mpenzi . lakini yeye hapendelei sana kuniita mpenz.ananiita jina langu tu.neno MPENZI kwake ni kama ndoto kabisa.imepita kama miezi miwili toka nimpate lakn kadri siku zinavyozidi kwenda sioni kama neno MPENZI litakuja tamukika kinywan mwake .lakn nikimuuliza kwanini huniiti mpenzi anasema haina haja but ipo siku ataniita tu nisiwe nawasiwasi .lakini mimi wasiwasi wangu je huyu mchumba ananipenda au anazuga tu?kama kweli ananipenda kwanin hataki kuniita mpenz?naomba wana jf mnipe chochote anachokifikiria huyu mchuchu kichwani mwake maana namfikiria sana lakini sipati jibu kabisa
 
Aiseee babaangu we jina lako ni surn unataka uitwe mpenzi la nini ungemwambia baba yako akubatize jina la mpenzi ili uitwe ivyo
 
Sijawahi muita mke wangu kitu we are married 3 years nampenda balaa.

QUOTE=SURN;4667943]Nina mpnz wangu nampenda sana na yeye anadai ananipenda.lakn chakushangaza mimi tu ndo namuita mpenzi . lakini yeye hapendelei sana kuniita mpenz.ananiita jina langu tu.neno MPENZI kwake ni kama ndoto kabisa.imepita kama miezi miwili toka nimpate lakn kadri siku zinavyozidi kwenda sioni kama neno MPENZI litakuja tamukika kinywan mwake .lakn nikimuuliza kwanini huniiti mpenzi anasema haina haja but ipo siku ataniita tu nisiwe nawasiwasi .lakini mimi wasiwasi wangu je huyu mchumba ananipenda au anazuga tu?kama kweli ananipenda kwanin hataki kuniita mpenz?naomba wana jf mnipe chochote anachokifikiria huyu mchuchu kichwani mwake maana namfikiria sana lakini sipati jibu kabisa[/QUOTE]
 
Majina hata kwenye kanga yapo tu, wewe angalia matendo kama yana ukweli ndani yake
 
jina ndo mpango mzima...hayo mengine wizi mtupu......
 
Keshakustukia kuwa una mind saaana kuitwa mpenzi, sasa kukukomoa ndo hakuiti wala nini. Suluhisho jifanye hilo jina hulifagilii kabisa utaona tu atakavokuwa anakunganganiza kukuita!
 
nani kakuambia akikuita mpenzi ndio anakupenda? acha mapenzi ya kwenye cinema
 
Aiseee babaangu we jina lako ni surn unataka uitwe mpenzi la nini ungemwambia baba yako akubatize jina la mpenzi ili uitwe ivyo[/QUhata siku moja moja angekuwa ananiita mpenz surn ingekuwa pouwa kaka.kuliko kuniita surn daily mkuu
 
mkuu unataka ubembelezwe kwani umekuwa yai kwamba inabidi kukuhandle with care...jina lako ndio mpango mzima
 
enh! Kaunga kwani lile thredi lako lini linaanza kufanyiwa kazi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom