Hili tangazo liko sawa kweli?

Eti mtoto amsaidie mama kuhusu uzazi wa mpango duh
 
Mimi naona ni sawa kwa vile nao wanaonufaika na uzazi wa mpango sio vibaya wakawa na wawakilishi wao kuliko kusemewa hata kama kuna director amefanikisha hilo
 
Kwani hao watoto wanakadiriwa kuwa na umri gani? Wengine hatuna access na hicho kituo kilichotajwa
Wewe unatumia king'amuzi gani kisicho kuwa na ITV?
 
Wamekosea sana kuwahusisha watoto katika mambo ya uzazi wa mpango.
 
Linaniudhi sana tangazo hili. Hao watoto eti wanaotaka wazazi zao wawe ma uzazi wa mpango....najiuliza wangefanya hivyo hao watoto wangezaliwa?
 
Mimi Majuto jamani.......uwiii.......natamani kuvunja TV......na wale wa magodoro.......nakufwaaaaaaaa........vereeee boring.....
 
Mimi Majuto jamani.......uwiii.......natamani kuvunja TV......na wale wa magodoro.......nakufwaaaaaaaa........vereeee boring.....

Matangazo yasiyo na ubunifu ka hayo huwezi ona kwe tv za Kenya.
 
Ndo utandawazi huo, we hujaona tangazo la jini kwa hisani ya comfy? Wiki hizi wanatumiahadi majini Kisangani kwenye TV!
 
Mimi Majuto jamani.......uwiii.......natamani kuvunja TV......na wale wa magodoro.......nakufwaaaaaaaa........vereeee boring.....

Hahahaah mzee mzima anashangilia mpk kaptula inamtoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…