New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 401
- 636
Habari wakuu,
Hili suala la kulipa kodi za nyumba mnalionaje maana nyumba zimekuwa ghali sana kiasi kwamba ukipiga hesabu hapo unakuta unaweza kujenga nyumba yako kali sana ukaishi zako bila stress.
Nilikuwa nafikiria hapa kupata kiwanja kigamboni nijenge nyumba ya kisasa mwenyewe badala ya kuwa nalipishwa kodi kila mwezi.