Hili silielewi.

hapa wacha nipite..... Niwaache wenye privacy zenu...sie wengine as long as twalala bila pichu na ni wanandoa hatunaga privacy..........
 
wee sema unaogopa kuwa ukipokea basi automaticlly umemruhisu yeye apoke yako na hivyo ataona madudu unayofanya.....nilisemaga njia rahisi ya kumnasa asiye mwaminifu mwaache apome simu zako.
 
Ndoa nyingi zimevunjika kwa ajili ya kupokea simu au kusoma sms za wake au waume zetu. Kuwa makini katika hili.
 
Mmmh..! Ukitaka ndoa iwe na matatizo anzeni kupokeleana simu zenu.!!

Mh, nazidi kuwashangaa wale wasiokuwa na uhuru na simu za wapenzi wao, afu hata baadhi ya wanawake nao eti hawapendi waume/wapenzi kuwa na uhuru na simu zao. IN SHORT KAMA WEWE UNAUSIRI NA SIMU YAKO KWA MPENZI WAKO WEWE SI MWAMINIFU!!
 
hapa wacha nipite..... Niwaache wenye privacy zenu...sie wengine as long as twalala bila pichu na ni wanandoa hatunaga privacy..........

sawa_nimekupata vema kabisa.
 
wee sema unaogopa kuwa ukipokea basi automaticlly umemruhisu yeye apoke yako na hivyo ataona madudu unayofanya.....nilisemaga njia rahisi ya kumnasa asiye mwaminifu mwaache apome simu zako.

ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_hili nalo neno.
 
Ndoa nyingi zimevunjika kwa ajili ya kupokea simu au kusoma sms za wake au waume zetu. Kuwa makini katika hili.

sawa kabisa _bahati mbaya ni kwamba kweli sina tabia hiyo.
 
Mh, nazidi kuwashangaa wale wasiokuwa na uhuru na simu za wapenzi wao, afu hata baadhi ya wanawake nao eti hawapendi waume/wapenzi kuwa na uhuru na simu zao. IN SHORT KAMA WEWE UNAUSIRI NA SIMU YAKO KWA MPENZI WAKO WEWE SI MWAMINIFU!!

noted....
 
Huyo alikutega na alimwambia buzi lake limpe simu demu, na ungepokea ungesikia sauti ya demu na ungeendelea kumwamini.
Ivi lisaa zima simu ipo mezani bila kupigwa, si ungemwona mkeo sio mzuri!
Kwa taarifa yako, mabuzi wanapewaga namba ya line nyingine ambayo wewe huijui.
 
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_lo!
 
Mh, nazidi kuwashangaa wale wasiokuwa na uhuru na simu za wapenzi wao, afu hata baadhi ya wanawake nao eti hawapendi waume/wapenzi kuwa na uhuru na simu zao. IN SHORT KAMA WEWE UNAUSIRI NA SIMU YAKO KWA MPENZI WAKO WEWE SI MWAMINIFU!!

Unajua nini? Hii ni kuepusha matatizo yasiyo kuwa ya lazima..! Sio suala la kukosa uminifu ndugu yangu...!!

Tumeona ndoa nyingi ambazo ziko matatani na nyingine kuvunjika kwa sababu ya simu..! Kuepusha hayo, ni bora kila mtu akawa busy na simu inayomuhusu ili kuepusha zogo..!
 
heeh! aisee!!!!!!!!!
 
Kuna watu wanaanza kuongea kabla hajahakikisha kuwa aliyempigia ndio mwenyewe au niseme wrong number. Kwa mfano "mpenzi yale mavitu ya jana si mchezo leo vipi?". Mpango wa kupokea simu ya mwenza NOMA.!
 
Husichoelewa kitu gani?
Kama mwenyewe kakuruhusu upoke siku ingine pokea.
Kama hautaki kupokea basi mwambie uwezi kuongea na mashoga zake.
Au haupendi kupokea simu ya mtu mwingine.
 
Husichoelewa kitu gani?
Kama mwenyewe kakuruhusu upoke siku ingine pokea.
Kama hautaki kupokea basi mwambie uwezi kuongea na mashoga zake.
Au haupendi kupokea simu ya mtu mwingine.[/QUOTE]

Yeayh_sipendi kupokea simu ya mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…