Hili ombi la msamaha limekaaje Wakuu?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,846
Nimesoma hii habari na nimeona wanaume wengi wachangiaji wakitamani hii ofa ingewatokea wao.

Nimecheka kinoma jamaa mmoja anasema kama Millard Ayo ana namba ya huyo aliyetoa gari aje amchukue mke wake yeye na atamuongezea na watoto kabisa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi ningeipokea hiyo zawadi kwa moyo mkunjufu kabisa sema nisingeitumia ningeiuza halafu kama nataka gari ninunue aina nyingine ili kuficha aibu. Kama ni mke kuliwa ameshaliwa na bora kaliwa na mwenye nazo, angeweza kuliwa na masikini akaniongezea gharama buree.. kufa kufaana.
 
Aicee...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa apokee tu zawadi maana mke wake aliyataka mwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni dharau kubwa ila ningepokea zawad maana mke keshaliwa na iyo gar ingenipatia mtoto mkali wa kunipunguzia stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…