Hili ni tatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni tatizo gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by NZURI PESA, Aug 30, 2012.

 1. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Habari wandugu.Kuna rafiki yangu ana KITU KINACHOCHEZA TUMBONI kama Ujauzito,na amejaribu kupima haja ndogo kwa UPT hana Ujauzito.Amekwenda klinik ya wajawazito mapigo yapo na ametakiwa kurud baada ya miezi 2.Anapenda kujua aweza kuwa na tatizo gani? Na tiba yake yapatikana wapi?nawasilisha
   
 2. c

  christmas JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,605
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  wataalam watujuze jaman
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu huyo rafiki yako ni jinsia gani????
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ultra sound imeonesha nini??

  Haihusiani na ini kweli?
   
 5. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Jinsia ya kike babaake
   
Loading...