Hili Ni tatizo gani?

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari wapendwa naenda moja kwa moja kwenye nasumbuliwa na tatizo la nakuwa na hamu ya kula lakini nikiwekewa chakula mezani nakula kidogo na kutapika.

Nimeenda hospitali nikacheki malaria Sina sasa nazidi kupata stress sijui tatizo Nini basi kama watu wenye experience na hili tatizo ushauri tafadhali. Yaani naishi kwa kula matunda tu.
 
Yaani matunda sio chakula!
Labda ni allergy ya baadhi ya chakula tu. Jaribu kumtembelea rafiki yako alafu akuandalie chakula ambacho hukukitegemea uone km utatapika.
Muda mwingine ni aina ya mapishi yako /yenu.
Ungejua jinsia yake ndio ungemshauri kupima hiyo mimba
 
Cheki na ngoma mkuu, Kama mwanzo ulikuwa unakula freshi ila sasa unatapika lazima kuna tatizo pahala. Usisahau na minyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom