BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Hongera zako,wenzio wanashindwa kazi kisa mapenzi.Habari za muda huu wana MMU
Mimi Nina tatizo moja siwez kukaa na watu,naitaj kukaa mwenyew zaidi kuliko kua na MTU yoyote, nimepitia tragedies nying hasa mapenzi,..ata mpenzi Wang wa sasa,amekata mawasiliano kabisa coz anajua simjali na kweli,hua sipigi simu hata wiki mbili,napenda sana kufanya kazi muda wote,siitaji closure na watu hasa kweny mapenzi,lakin ihusu kazi tu,..mwili umekufa ganzi kweny mapenzi,moyo unauliza kumbuka Yale ya nyuma,..afu hakuna MTU anaweza kuniekeza chochote kuhusu mapenzi nikamwelewa,..ni hayo tu naomba ushauri,nifany nn nibadilike,...
NB naweza kufanya kazi zangu masaa yote hata usiku,sina muda wa kuwaza mapenzi,
Kabla ya kuanzisha uhusiano mpya unahitaji kuwa huru,kujifungua toka kwenye mahusiano yaliyopita ,sasa Inaonyesha dhahiri bado uko kifungoni kwa mahusiano yaliyopita
agh basi kama matamanio nimekutamani wewe na kama kupenda basi nimekupenda wew madameNafsi zetu zimeumbiwa matamanio, kupenda
Mimi nina mtu tayariagh basi kama matamanio nimekutamani wewe na kama kupenda basi nimekupenda wew madame
Pole lakn tambua kua upo kwenye hatua za mwisho za kuwa zombie
Usifanye kufuru kwa maneno yako kutu,
Muombe Mungu akusaidie kwani kila jambo linawezekana mbele za Mungu mwenyezi.
Kama mapenzi huyawezi achana nayo ili ufanye mambo mengine.
Hakuna mtu anaweza kukueleza chochote kuhusu mapenzi ukamuelewa then unataka ushaur wa nn