Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo ninaloona ni kwamba ina uwezo mdogo sana kwenye kutapata channels hasa fta. Kuna mtu aliniambia kwamba kuna fta channels nyingi ambazo ningeweza kutapa ikiwa receiver yangu ingekuwa na uwezo wa MPGE4. Hapo hapo kuna jamaa yangu alitoka Finland na receiver ambayo ni MPGE4 lkn mpaka sasa mafundi wetu wameshindwa kuinstall, imekaa tu ndani kama pambo.
Ombi langu nahitaji kujua yafuatayo:
1. Je, ni kweli kwamba MPGE4 na MPGE2 zina tofauti, na kwa kiasi gani?
2. Je, ikiwa MPGE4 inaweza kushika fta channel, maximum hapa kwetu naweza kupata ngapi?
3. Je, hiyo MPGE4 nayo itatumia satelites hizi tunazotumia kwenye MPGE2?
4. Nasikia kuna baadhi ya receivers zina uwezo wa kufungua scrambled channels,je hiyo inawezekana?
Mtanikosoa kama nitakuwa nimekosea vitu kadhaa hapo juu kwani mimi sio mtalamu wa mambo haya.
Nawasilisha....
Halafu nimefuatilia kwenye net naona Tanzania(Zanzibar) tumeadopt DVB-T2 tarehe 25/11/2010. Je kuna tofauti gani kati ya DVB-T na DVB-T2? wajuzi tunaomba msaada wenu hapa kabla ya kuingia mkenge.
Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo ninaloona ni kwamba ina uwezo mdogo sana kwenye kutapata channels hasa fta. Kuna mtu aliniambia kwamba kuna fta channels nyingi ambazo ningeweza kutapa ikiwa receiver yangu ingekuwa na uwezo wa MPGE4. Hapo hapo kuna jamaa yangu alitoka Finland na receiver ambayo ni MPGE4 lkn mpaka sasa mafundi wetu wameshindwa kuinstall, imekaa tu ndani kama pambo.
Ombi langu nahitaji kujua yafuatayo:
1. Je, ni kweli kwamba MPGE4 na MPGE2 zina tofauti, na kwa kiasi gani?
2. Je, ikiwa MPGE4 inaweza kushika fta channel, maximum hapa kwetu naweza kupata ngapi?
3. Je, hiyo MPGE4 nayo itatumia satelites hizi tunazotumia kwenye MPGE2?
4. Nasikia kuna baadhi ya receivers zina uwezo wa kufungua scrambled channels,je hiyo inawezekana?
Mtanikosoa kama nitakuwa nimekosea vitu kadhaa hapo juu kwani mimi sio mtalamu wa mambo haya.
Nawasilisha....
nilikuwa na tatizo la kushka chanel chache kama nyinyi nika ambiwa ni nunue dish kubwa nika nunua .ila the same thng. Nika ongeza lnb kwny dish chanel zikaongezeka .hadi sasa nimefunga lnb 4 na frqcy na zipata hapa www.flysat.com.naziweka mwnyewe na search .nina chanel zaidi ya 100 fta. Na badhi ya chanel za ku pay mfano nat geograph kuna postion nikiweka dsh ina shika sema kubadili position sio vzuri chanel zngnd zta potea..skumbuki aina ya reciver ila ni dvb .mediacom. Kwa mimi nakushauri nunua lnb nyingne weka mwambie fundi afanye configrtn.kila lnb inakuwa asigned specific satelite. .mfano 1 inashka free 2 air ya tz. Nyingne arab nyingne sauz.etc
Habari ndugu!
Sasa leo nimefunga lnb ya kU nimeielekeza kulekule East ilipo ya cband za tanzania, nimeweza kupata Kbc, K24, familyTV, wbsTV na StarTV ile mpya ya Dsm, naomba kama umefunga lnb hiyo na imelink huko kama unazo frequenc zingine mnipatie..
Wakuu sema bongo yetu net ya kusua sua sana, kama mngekuwa mnaweza au hamtumii package kwa ajili ya internet i mean ni unlimited then kuna box linaitwa Maxx100 .
Yeah nimekujibu PM yako
Yanini tena mambo ya PM waungwana? Tuwe wawazi tuu au mna agenda gan?