Hili ni kwa watalamu wa Ving'amuzi na Satelite Dishes, ufafanuzi tafadhali!

MkuuMAVELLA Tafadhali ebu nijuze kwa Offset dish 135cm unaweza kupata Badr 4,28 degree E? Ambapo MBCs zinapatikana kwa receiver za Kawaida
 
MkuuMAVELLA Tafadhali ebu nijuze kwa Offset dish 135cm unaweza kupata Badr 4,28 degree E? Ambapo MBCs zinapatikana kwa receiver za Kawaida

badr 4 haiko 28e iko 26e hii unaweza kuipata inategemea uko maeneo gani ya TZ kama uko kaskazini ya TZ unaweza kuipata kwa offset size uliyosema au zaidi ya hapo kwasababu beam yake inaonekana imeishia maeneo ya Ethiopia. Jaribu kila kitu ni kujaribu . Kuna jamaa songea anapata chanel kutoka kwenye BADR kama Ad sport kwasababu anatumia madishi makubwa, mbc unaipata kwa kutumia reciver ya kawaida ila nakushauri utumie MPEG 4 ndio utapata chaneli nyingi.
 
Attachments

  • BadrMBCKuband2copy.jpg
    BadrMBCKuband2copy.jpg
    47.4 KB · Views: 151
badr 4 haiko 28e iko 26e hii unaweza kuipata inategemea uko maeneo gani ya TZ kama uko kaskazini ya TZ unaweza kuipata kwa offset size uliyosema au zaidi ya hapo kwasababu beam yake inaonekana imeishia maeneo ya Ethiopia. Jaribu kila kitu ni kujaribu . Kuna jamaa songea anapata chanel kutoka kwenye BADR kama Ad sport kwasababu anatumia madishi makubwa, mbc unaipata kwa kutumia reciver ya kawaida ila nakushauri utumie MPEG 4 ndio utapata chaneli nyingi.

Kwa hapa Dar inaelekea ni ngumu kulingana na hii beam. Je kwa offset dish 135cm naweza kupata sat gani nyingine zenye chnls nzuri?
 
A
Wakuu sema bongo yetu net ya kusua sua sana, kama mngekuwa mnaweza au hamtumii package kwa ajili ya internet i mean ni unlimited then kuna box linaitwa Maxx100 na unaweka na dish lako nje sio kubwa sana la kati tu linatosha, then hilo box una connect kwenye net , basi hutoenda enda baa tena kupigizana kelele na mtu, kama EPL wanacheza timu sita kwa siku then zote unazipata unachagua, ila lazima box liwe connected kwenye internet maana saa zingine key zinakuwa blocked then lenyewe box kupitia ile net yako zina ji un block huna haja ya kwenda kwenye internet na kuangalia key...ninalo hilo box kwa miaka 3 sasa silipiii na wala sijawahi kusumbuka nalo hata kidogo na hata kukiwa na champions mipira yote napata, so napendekeza kama wadau mnaweza.
ulinunua wapi'? Bei gani?
 
Wakuu kuna vitu vinanichanganya sana, naombeni ufafanuzi kidogo kabla sijaingia mkenge. Kuna receivers ambazo ni MPGE4 compatible na MPGE2 ambayo ndiyo mimi natumia(Mediacom 930+). Tatizo ninaloona ni kwamba ina uwezo mdogo sana kwenye kutapata channels hasa fta. Kuna mtu aliniambia kwamba kuna fta channels nyingi ambazo ningeweza kutapa ikiwa receiver yangu ingekuwa na uwezo wa MPGE4. Hapo hapo kuna jamaa yangu alitoka Finland na receiver ambayo ni MPGE4 lkn mpaka sasa mafundi wetu wameshindwa kuinstall, imekaa tu ndani kama pambo.

Ombi langu nahitaji kujua yafuatayo:

1. Je, ni kweli kwamba MPGE4 na MPGE2 zina tofauti, na kwa kiasi gani?
2. Je, ikiwa MPGE4 inaweza kushika fta channel, maximum hapa kwetu naweza kupata ngapi?
3. Je, hiyo MPGE4 nayo itatumia satelites hizi tunazotumia kwenye MPGE2?
4. Nasikia kuna baadhi ya receivers zina uwezo wa kufungua scrambled channels,je hiyo inawezekana?

Mtanikosoa kama nitakuwa nimekosea vitu kadhaa hapo juu kwani mimi sio mtalamu wa mambo haya.

Nawasilisha....

Kwa kauelewa kangu kadogo ni kama DvD na VcD ambapo DvD huwezi kuweka kwenye deki ya VcD ukaona hivyo hivyo hata hizo Mpge2 na Mpge4 kuna channel ambazo bila Mpge4 huzipati ingawa ni free to air. Scrambled channel huwa zinafunguliwa na dongle ambazo ziko za aina nyingi zingine zinatumia lain ya simu zingine hazitumii zingine zinaungwa na receiver zingine zinatumika zenyewe kifupi ndo hivyo tu.
 
Msaada hivi kuna uwezekano wa kupata channels za usa kwa kutumia satalite dishn kama vile abc,nbc ,cbs,wb50 ,upn au angalau Fox News? Kwakweli nime miss sana Us style ya wanavyo broadcast news zao ingawa ni nyingi za ndani ya usa tuu ,please help.

mkuu inawezekana sana.....mafundi wengi ni waganga njaa tu lakini kuna siku nitawka uzi humu jinsi ya kupata channel nyingi za Ku band na c band kwa Lnb (Tochi) mbili tu kwa Dish la Ft 8 la wavu na Jeki moja ambayo itatrack satalite zote zilizopo east through to West........hivyo ukiwa mfano Dar Dish lako litabeam weast about 7 degree hapo utapata Usa hasa CNN na kadhalika.............Mkuu nipo busy na maisha nitaelekeza step by step hakuna haja ya kujaza maLNB kwenye Dish............kwa njia hii utapata channel zaidi ya 500 mwanawane............
 
mkuu toka 2014 tunasubiri tu, uko wapi????
 
Kaka una maswali kama ya kwangu. Hebu wataalamu watufafanulie kama hapa Tanzania tunatumia mfumo gani wa digital? Mimi nataka kutmia DVB-T MPEG4 sasa sijui kama hivi vingamuzi vyaweza fanya kazi hapa kwetu. Kaka wewe hicho king'amuzi ni cha mfumo gani? T au S
uploadfromtaptalk1474488050689.jpg
 
Back
Top Bottom