Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani?
Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku. View attachment 2112522 View attachment 2112536
Niko tayari kulinunua kwa mil.15 na nyumba ya mil. 35 nitakujengea na gari nitakupa, hiyo ndiyo ofa yangu japo naweza kukuongezea.
Ukikataa nitawaambia mabeberu wa SGR wakunyang'anye.