Hili ni gonjwa au mazoea mabaya.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ni gonjwa au mazoea mabaya.?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by IHOLOMELA, Jan 26, 2011.

 1. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  Bandugu nawasalimu.. Nina miaka 30 sasa, sijaoa kwa kuwa bado antena ya maisha haijakaa sawa, nakamata chenga.!

  Kuna tatizo linanisumbua sana, yaani haupiti usiku bila "kujikamua". Ninapopanda kitandani tu "Jogoo" anataka kuwika.
  Nimejaribu kuacha lakini nimeshindwa..tena ikipita usiku sijajichua, usiku unaofuata nakamua hadi mara nne. Naomba msaada wenu wana JF.
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  headline andika kwa wanaume tuu... waona sasa nimefungua nikakusoma....
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah ...kwan hauna demu kaka?
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asema hajaoa.... akiwa na dem atakuwa akifanya zinaa...
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hata wewe unaweza kumpa ushauri, huenda una ufahamu wa haya mambo!!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Pole sana, kwa kuwa umeshindwa kuacha huo mchezo mimi nakushauri tafuta mke uoe, na pale utakapokuwa unajisikia kufanya huo mchezo nadhani atakuwa na msaada mkubwa.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Unajua Rose haka kaugonjwa hata kama una demu unaweza kumuacha amelala ukaenda bafuni kujichua! Wanasema kamchezo hako kana raha yake!!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umeishaharibikiwa weye bora ukae hivyo hivyo maana ukipata mke watu watakuwa wanakusaidia
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,071
  Trophy Points: 280
  hiyo ni addiction inabidi upunguze au ujitahidi uache lakini kama huna demu na unatumia njia hiyo kupunguza ukame ni nzuri kuliko kuparamia vicheche au kuchukua ma-CD kwani huwezi kupata ngoma ingawa ina side effects za kisaikolojia
   
 10. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmhh sina...:car::car::car:
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Dem nae gharama Rose, sometime zaidi ya wife. Sasa kama antena inakamata chenga, unategemea awe nae!!
   
 12. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ama kweli wewe ni IHOLOMELA!!!!!!
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu una tatizo kubwa sana ambalo kama hautolitafutia ufumbuzi mapema unaweza kujikuta huwezi kumudu mahusiano na mwanamke yeyote,
  -Ukiwa na mwanamke hutosikia raha wakati wa tendo kama unavyosikia wakati ukijichua
  -Wakati wa tendo utajikuta ukimaliza mshindo mapema sana kabla ya mwenzi wako na kumuacha akiwa na hamu ambayo itapelekea naye kutafuta wa kumaliza kiu yake sehemu nyingine
  Kwa msaada unatakiwa upate ushauri wa namna ya kuachana na hiyo hali maana inaonesha umekwishaathirika kisaikolojia jambo ambalo ni gumu sana kwako kuacha,
  Mrudie Muumba wako na kufuata mafundisho yake kama unaamini katika dini yoyote.
  Pole sana.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Ina maana gani kwani!!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Sometimes atakuwa anashindwa kumshughulikia mke wake hadi ajikamue kwanza.
   
 16. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kaka, niliposoma "ANTENNA YANGU" nilifikiri antenna ile ingine haina network - hahahaha
  kujikamua you mean masterB yah! ndugu tafuta gal/mke otherwise hiyo MB itaku-effect
  ukubwani, antenna yako itakuja shindwa ku-catch network na kuanguka - BeCareful Man:shock:
   
 17. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  True Katavi - sio hivyo tu, ule urojo uatakuwa umekwesha kwenye uti wa mgongo:disapointed:
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Una mapepo wachafu
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni ushauri mzuri utakao toka humu utasaidia wengi
   
 20. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Risasi zaisha na ndege, ndovu akitokea kaka.....Risasi hizoooo zimeenda utaangushaje huyo NDOVU. Nilham, Rose, FirstLady, cheusimangala na wengine, tusaidieniiii!!!!!!
   
Loading...