Hahahahahah dunia hiii dah!!
Dogo wawatu bado untouchable huyo lazima agomee!!
ama mwanaume hajaamua tu kuforce
Akiforce haitanoga
ndo mana msomali akaamua amuache aende na chupi yake
Weweeeeeeeeeeeee😡
Kuna shida hapo??
Mmmh.naomba ugen maeneo hya
Mhh!! Embu fundisho lako liweke vizuri maana story hata haieleweki.
Habari JF,
Jiran yetu mwenye asili ya Somalia, ameozesha mtoto tena under 18, kwa mwanaume wa age ya 27,
Mtoto alikataa kwa nguvu zote but wazazi wakamkomalia, harusi imesaga mamilion ya shs lakini imedumu si zaidi ya 48hrs, kisa mtoto amegoma kuvua chupi.