MAPUMA MIYOGA JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,792 Reaction score 2,370 Jun 17, 2013 #41 jnuswe said: Taarifa sahihi ni kwamba Iseke CHADEMA ndo imeshinda Iseke iko jimbo la Tundu Lissu Click to expand... Nimekusoma Mkuu, Ngoja nijipongeze maana naona watani zangu wanaamka kwa spidi ya mwanga. Bado sisi kwetu Iramba kwa nduli chemba ndio tunatia aibu.
jnuswe said: Taarifa sahihi ni kwamba Iseke CHADEMA ndo imeshinda Iseke iko jimbo la Tundu Lissu Click to expand... Nimekusoma Mkuu, Ngoja nijipongeze maana naona watani zangu wanaamka kwa spidi ya mwanga. Bado sisi kwetu Iramba kwa nduli chemba ndio tunatia aibu.
Kipigi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2012 Posts 815 Reaction score 334 Jun 17, 2013 #42 Sawasawa mkuu,miaka 50 wamepewa wameichezea sasa wanataka watanzania tufanye nini?,ni kuwapiga chini tu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sawasawa mkuu,miaka 50 wamepewa wameichezea sasa wanataka watanzania tufanye nini?,ni kuwapiga chini tu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
manning JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,093 Reaction score 11,948 Jun 17, 2013 #43 si kweli kuwa CCM wanashinda vijijini ,ila Vijjini uwa wanapata nafasi ya kuiba kura kwa urahisi na kuwarubuni mawakala kwa urahisi kwa ajili ya njaa zao, kwani huko vijijini hakuna ulinzi mathubuti kama mjini.
si kweli kuwa CCM wanashinda vijijini ,ila Vijjini uwa wanapata nafasi ya kuiba kura kwa urahisi na kuwarubuni mawakala kwa urahisi kwa ajili ya njaa zao, kwani huko vijijini hakuna ulinzi mathubuti kama mjini.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,645 Reaction score 870,331 Jun 17, 2013 #44 Thanks God çcM is perrishing for good
Mlingwa JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 381 Reaction score 58 Jun 17, 2013 #45 Saba kwa nane, hakika chama tawala kimeshikwa pabaya