Hili ni Aguko Kubwa kwa CCM!

ccm wana itikadi za kishetani.....wanazani wanongoza wafu ama wanyama, ccm ni ya kupingwa kwa hali ya juu, inasikitisha chama cha mapinduzi kina ratibu mipo ya kuuwa raia
 

Ifakara CHADEMA diwani wake ni kijana Peter Lijuakali
 
Ni anguko baya maana sasa uhai wao uko ICU (Polisi na Usalama wa Taifa) wangeshakata roho kitambo.
 
10. Iseke, Singida (SINGIDA) – CCM
12. Iseke ,Singida - CHADEMA

Hapa mwenye taarifa sahihi atujuze, haija kaa sawa. Kuna post zinasema CDM tumeshinda na zingine ccm wameshinda.
 
Hizi ni salamu tosha kwa mtengeneza muvi wa magamba chemba.a.k.a savimbi...
 

Mkuu hii kazi sio ndogo kwani hata kidogo kuwanyanganya kata tano na kutetea 2 sema tu kuna Mikoa bado wamelala
ila CCM wanazidi kujichimbia kaburi la 2015.
 
Mkuu hii kazi sio ndogo kwani hata kidogo kuwanyanganya kata tano na kutetea 2 sema tu kuna Mikoa bado wamelala
ila CCM wanazidi kujichimbia kaburi la 2015.
Sehemu zote ambazo CCM wameshinda ni kwa sababu daftari la wapiga kura halikuboreshwa. Kama daftari la wapiga kura lingeboreshwa tungekuwa tunaongea mambo mengine hapa. Kwa sasa CCM wanapumulia mashine. Na wenye akili ndani ya CCM wanajua kila kitu kinachowakabili huko mbele ila majukwaani wanajifariji kuwa wamebakiza Last Kick of the dying Horse
 


Huo ni mwanzo mzuri. Unajua si kazi rahisi kuchukua kiti kilichokuwa kinakaliwa na chama cha zamani ccm.
 

CCM wananena kwa lugha,kama wale jamaa walivyokuwa wanajenga mnara wa babeli!!!!! Hapa hadi mnara uanguke na hakuna mbadala wake. Ndio maana hata katiba inakimbizwa kama maiti kuzikwa kabla ya mgharibi. CCM is prime and ready to get out of power
 
Kata ni Nyampulukano- sengerema, Iyela-Mbeya, Ifakara mjini, Lugata, Dongobeshi-Mbulu, Bashnet -Babati, na Iseke- Singida hizo zimechukuliwa na CHADEMA, katika hizo zilizokuwa za CHADEMA mwanzo ni ile ya Mbulu na Sengerema , wametetea kata zao na Kuchukua hizo nyingine 5 zilizokuwa zinashikiriwa na ccm
 
mmetuchanganya!!!!!!!!!! iseke singida zipo ngapi?maana nimeona iseke moja kashinda ccm na nyingine kashinda chadema inakuwaje?tufafanulieni!
 

Asante kwa ufafanuzi mkuu. Hivi hiyo Nyampulukano ya Sengerema nayo haikuwa ya CCM kweli? Manake nakumbuka aliyekuwa diwani wake (akiitwa Tabasamu) alijivua uanachama wa CCM na kuhamia Chadema na hivyo kupelekea kata hiyo kuwa wazi.
 

No 10 iseke singida Chadema
No 12 iseke singida ccm?????????? Ni sehemu tofauti au?
 
CCM hawana sera wao wapo kwa ajili ya kuboresha maslahi yao na familia zao. Zaidi wako kwa ajili ya masilahi wapate nenepesha makalio ya wake zao
 
10. Iseke, Singida (SINGIDA) – CCM
12. Iseke ,Singida - CHADEMA

Hapa mwenye taarifa sahihi atujuze, haija kaa sawa. Kuna post zinasema CDM tumeshinda na zingine ccm wameshinda.

Taarifa sahihi ni kwamba Iseke CHADEMA ndo imeshinda Iseke iko jimbo la Tundu Lissu
 
Kwa kitendo walichofanya AR, CCM imezidi kujichimbia kaburi wenyewe>>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…