Hili ndilo neno la mungu

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Mwimbieni BWANA,nchi yaote,Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,Na watu wote habari za maajabu yake.
Kwakuwa BWANA ni mkuu mwenye kusifiwa sana Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote,Maana miungu ya watu si kitu;Lakini BWANA ndiye aliye zifanya mbingu.
Heshima na adhama ziko mbele zake,Nguvu na furaha zipo mahali pake.Ameni,
((( Mambo ya Nyakati 16:23-27 ))) Mbarikiwe sana watu wa MUNGU,siku za kuishi kwenu na ziongezeke katika uso wa Dunia.Ameni
 

Hizi maneno maneno kwenye jukwaa la Mapenzi zimeingiaje mkuu?
 
inawezekana umempata shemeji mcha Mungu sasa unamfanyia mazoezi kabisa kabla hajatia timu.
 
wahubirini mataifa habari za utukufu wake na watu wote habari za maajabu yake
 
Hizo sifa teule za mungu ni sahihi sana kwa imani yetu. Maajabu mikomunisti kama vile mikina Lenin, mao Tsedong, Joseph Stalin na mengine mengi duniani, yenyewe yalitaka sifa hizo watu wawape wao i8ngawa ni mijitu mikatili kupita mamba akiwa mtoni.

Mikomunisti ilitaka kuwa iwe inaimbiwa kwaya, kusifiwa na kutokosolewa hadharani. Magazeti yawe yanawasifia mahotuba yao machafu na kuwa nukuu mineno yano yao ya kishetani.

Mungu kayaumbua vibaya sana pale alipoutokomeza ukomunisti duniani!
 
tupa kule kwenye jukwaa li dini, unatupotezea muelekeo
 
rayun...muombe mungu msamaha...sikuitafika utakaposema siku sikia neno lako...mbona nyimbo nyingi za injil zinapigwa bar..nikusema hawajui madhali...neno likikujia litafakari kwa wakati wako..huwezi kujua mungu ameamua nin mpaka huyu aandike humu..mungu anakusudi la roho zetu..kama si wewe basi ni mimi.ukimkana yesu hadhalan naye atakukana mbele ya baba yake..tusiishi kwamazoea bali tukubali kubadilika..mungu atukusamehe na atukuponye nafsi zetu na hila za ibilisi...ameeeen
 
Amina...Utukufu kwa MUNGU muumba mbingu na dunia yote na vyote vilivyomo ndani yake.
 
UKIONA KITU KIME POSTIWA KAMA HAKIKUHUSU ACHANA NACHO;ACHA WENYE SHIDA NA MUNGU WA MTUKUZE KWA AKADRI ALIVYO WAJALIA,KWANI HATUJUI SEKUNDE MOJA IJAYO KAMA TUTAIFIKIA,HIVYO INATUBIDI KUKESHA KWA MAOMBI NA KURIHUBIRI NENOBLA MUNGU KILA WAKATI NA KILA SEHEMU KADRI ATAKAVYO TUJALIA;TUKUBARI KUBADILIKA NDUNGU ZANGU,HII DUNIA SI YETU KUMBUKA(((( mshahara wa dhambi ni mauti ))) Mubarikiwe nyote mlioguswa na Neno la Mungu,kwani ndo kazi tuliyo agizwa kuifanya.Amina
 
Halellujah!Ooh,glory to God!glory to God!
Jesus!Jesus!
 

barikiwa na wewe kwa kutupa maneno mazuri ya biblia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…