MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,973
Nina wasiwasi na wewe!afike kileleni asifike.. mm hainipi shida...
hatuwez kuwa na wanaume ambao malengo yao ni kufikisha mtu kileleni...
Nina wasiwasi na wewe!afike kileleni asifike.. mm hainipi shida...
hatuwez kuwa na wanaume ambao malengo yao ni kufikisha mtu kileleni...
njoo PM tuanzishe mchakato wa kukutoa wasiwasi...Nina wasiwasi na wewe!
Mkuu wewe ni mmojawapo ambao mupo kwenye kudhulumu hara ya mwenza wako........Hakika ukiwa wa kufikisha mwenza kunakohusika ukiwa umemaliza Show kwa upande wako utajua tu kuwa huyu hajafika........Utadharaulika sana kwa yule ambaye anajua ya kuwa kuna kilele ila kwa yule asiyejua ataona kawaida tu na ndiyo maana walio wengi 80% hawajui ila siku wakijua wanajisemea moyoni walikuwa wapi kumpata HUYU......Binafsi naelewa kuwa wakifika kileleni ni kushika ujauzito kisha kushuka ni kujifungua sasa hata sielewi anamaanisha kilele kipi au Kibo na Mawenzi!?
Ni njisi unavyojisikia furaha unapokuwa nae.........na ndiyo maana wengine wanaishia kujiuliza bila majibu ya kuwa amempendea nini Yule...........!!!!????Mapenzi bwana
Mjini Chai ina maana nyingi Mkuu mojawapo ni kuwa Mjini Bila pesa hapawezekani........Pia kumbuka Mjini kunoga Chai..........Jina lako tu ni mjini chai sasa uzi wako utakuwa nini kama siyo mchaichai!?
Kwanza naomba nianze kwa kusema suala la mtu kufika kileleni ni juhudi zake mwenyewe.Wandugu katika mahusiano ya ndoa......Chungeni ndoa zenu hasa mnapokuwa katika mwili mmoja kwani walio wengi kwa utafiti nilioufanya 80% ya Wanawake tangu wawe kenye ndoa hawajawahi kufika kilele cha Mlima na hawajui kuwa kuna kufika huko ingawa ndani ya ndoa yao wamejaliwa kupata watoto.......lakini loooooooooooo ni kumfurahisha Mume tuuu......inafikia wakati huwa wana ndoa wa kike baadhi yao wanajiuliza inakuwaje wanawake wengine wanapagawa na mambo ya kugegedana? ilihali wao haoni chochote?
Vilevile nao wanaume walio wengi hawajawahi na hawajui kuwa kuna kuwafikisa wenzi wao kileleni,
usipofanya jitihada za makusudi siku akitapa mchepuko unaojitambua umekwisha.............Ndoa hakuna tena...........kwani kileleni kuna eitha
1. sauti isiyo ya kawaida siyo ile ya kuzuga/wizi.......
2. kupigwa loba
3.kufinywa
Nk
na baada ya hapo kinachofuata ni kuoneana aibu huku mukipeana pole
kwa mwanaume anayelijua hili ni lazima amfikishe mwenzie vinginevyoanafanya kusudi au hajui kabisa
Je una matatizo hayo usione aibu tupo hapa kusaidiana jinsi gani ya kutatua sintofahamu hii mnakaribishwa........
upo sahihi mkuu ki ukweli tendo hili linaongozwa na hisia pendwa.........lakini tukumbuke wanawake hisia zao ziko mbali kuliko wanaume hivyo ni vizuri kuwaandaa wenza wetu (pre sex) ili tutakapoanza basi tumalize pamoja na kuepuka kurudia kwa lengo la kumfikisha mwenzaKwanza naomba nianze kwa kusema suala la mtu kufika kileleni ni juhudi zake mwenyewe.
Mfano mzuri ni kwa wanaume wanaokutana na wanawake ambao ni mizigo kwenye safari ya kuelekea kileleni. Huwa wanafanya kila liwezekanalo ili wafurahie tendo. Anapokua amefika mwisho, hawezi tena endelea kumfanya mwenzake afike kwa kuwa hajishughurishi.
Nasema haya kwakua ili umfikishe mwanamke kunako, ni lazima utumie utundu na maujanja mengi ili usichoke. Sasa ukikutana na mwanamke ambaye ha respond, inakua ni tabu.
Pili ni lazima usafi uzingatiwe. Kwenye lile suala, ni lazima kila mtu akawa msafi. Nje ya hapo, zile harufu huwa zinaleta karaha na kumfanya mwanaume kupoteza hamu ya tendo. Sehemu zote ambazo hutoa barufu mbaya, ni vyema wanawake wakawa wanazinusa kila mara ili waweze kuzisafisha