SILENT WHISPER JF-Expert Member Jun 26, 2009 2,209 821 Nov 16, 2011 #1 ni kwa maana ipi u can save 99% by avoiding gf?
Bright Smart JF-Expert Member May 4, 2011 644 311 Nov 16, 2011 #4 mi nadhani inapunguza kupiga misele maana gfs nao mnh!! wanasababishaga immaterial safari nyingi...
Chatumkali JF-Expert Member Sep 9, 2011 2,037 458 Nov 16, 2011 #5 Bright Smart said: mi nadhani inapunguza kupiga misele maana gfs nao mnh!! wanasababishaga immaterial safari nyingi... Click to expand... Nadhani ndicho anachomaanisha.
Bright Smart said: mi nadhani inapunguza kupiga misele maana gfs nao mnh!! wanasababishaga immaterial safari nyingi... Click to expand... Nadhani ndicho anachomaanisha.
chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 204 Nov 16, 2011 #6 kwa wakware ni kama kumpigia mbuzi gitaa
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Nov 17, 2011 #8 chapaa said: kwa wakware ni kama kumpigia mbuzi gitaa Click to expand... wakware sio petrol tu mzee hata mafuta ya ndege kwao sio ishu
chapaa said: kwa wakware ni kama kumpigia mbuzi gitaa Click to expand... wakware sio petrol tu mzee hata mafuta ya ndege kwao sio ishu
AMINATA 9 JF-Expert Member Aug 6, 2011 2,120 641 Nov 17, 2011 #9 PROF. ENG said: Duh!! hiyo sijaielewa!!. Click to expand... yani ana maana kua wasichana ndio humfanya mtu gari yake mda wote iwe full tank .........
PROF. ENG said: Duh!! hiyo sijaielewa!!. Click to expand... yani ana maana kua wasichana ndio humfanya mtu gari yake mda wote iwe full tank .........