Kwa maana hiyo aniamini vya kutosha? kuna haja yeyote ya kulinda kwa kuweka ulinzi mkali hivi mahali palipo salama?
Kwanza je umri wake uko katika group gani? 18-21? au 21-25? au 25+?
Pili itabidi umwambie ila kiupole. Ni jambo la kawaida especially kwa vibinti vidogo kuwa hivyo. Mkomaze! Ataelewa tu
Mbona mambo ya kawaida ndugu yangu,mtoto amekolea kwako na anaonyesha kile alichonacho moyoni mwake,au unataka dunga embe ?tumia technic tu